Mdada zingatia hapa jitahidi usome mpaka mwisho

sawa ndo maana nasema mapenzi hayana formula na hapo si sheria ujue ila kuna mahali itakuwa imesaidia mie ilinsaidia pale KUWA NA MWANAUME ANAYEKUPENDA WEWE ZAIDI,yule unayempenda sana kuliko yeye achana nae
Una achana Naye afu ukisha olewa na mwingine , unakua unampelekea mzigo ,...dah akili zenu nyie bhana ...[emoji119]
 
yan unasema tafuta GOD fearing boy wakati yeye hamuofii had unakuwa nao sita unawapima!
 

Tatizo huwa mnasahau kwamba sisi wanaume tunafikiria sana kuliko nyinyi.

Kama utakuwa hujaelewa nilicho maanaisha unaweza kuuliza swali nikuoe na mifano.
 
Andiko refu, anyway kumbe halinihusu kina dada someni, [emoji124]
 
Sikuhizi wanawake ndio wanaanza kupenda na kutongoza. Sijui imekaaje hii
 
aaaa sikuisoma hii wewe jamaa wewe
 
Umeandika vyema.
Tatizo lipo kwa wanawake wangapi wanaweza fuata haya maelekezo kwenye maisha halisi.

Na hata kama wakifuata je watapata matokeo yanayofanana?!

Shukrani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…