Mr Pixel3a JF-Expert Member Joined Sep 15, 2021 Posts 7,078 Reaction score 10,552 Oct 10, 2024 #41 Mtoa mada tema mate chini....
Nyafula JF-Expert Member Joined May 19, 2023 Posts 396 Reaction score 489 Oct 10, 2024 #42 Ubaya Ubwela 😁
The king 07 JF-Expert Member Joined Sep 6, 2013 Posts 1,061 Reaction score 2,492 Oct 10, 2024 #43 Tafuna mali hiyo
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,672 Reaction score 167,734 Oct 10, 2024 #44 MAKONGOLOSII said: Swali lako linanipa mashaka kama umetimiza miaka18 Click to expand... Namshauri tarehe 27 akae nyumbani tu, haruhusiwi kupiga kura.....
MAKONGOLOSII said: Swali lako linanipa mashaka kama umetimiza miaka18 Click to expand... Namshauri tarehe 27 akae nyumbani tu, haruhusiwi kupiga kura.....
B Brownz Member Joined Jun 28, 2018 Posts 73 Reaction score 132 Oct 10, 2024 #46 Haya ndio madhara ya kutahiriwa na ganzi, hovyo kabisa. Suala dogo kama hili hadi utuletee na sisi? Kwanza umeshasema mmekutana Bar.
Haya ndio madhara ya kutahiriwa na ganzi, hovyo kabisa. Suala dogo kama hili hadi utuletee na sisi? Kwanza umeshasema mmekutana Bar.
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,672 Reaction score 167,734 Oct 10, 2024 #47 Kambaku said: Kwamba una miaka 45 wewe? Labda mwenzetu miaka yako unahesabu kama kifungo cha jela usiku na mchana ni siku 2 Click to expand... 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kambaku said: Kwamba una miaka 45 wewe? Labda mwenzetu miaka yako unahesabu kama kifungo cha jela usiku na mchana ni siku 2 Click to expand... 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mr Slim JF-Expert Member Joined Sep 11, 2018 Posts 3,086 Reaction score 6,108 Oct 10, 2024 #48 Hizo sms anawaandikia wengi tu kwa siku,anayenasa anaruka nae...usije ona anakutaka Sana,ni life style yake.
Hizo sms anawaandikia wengi tu kwa siku,anayenasa anaruka nae...usije ona anakutaka Sana,ni life style yake.