Babu Kijana
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 589
- 278
NipmNaomba mm hiyo kazi ila nakaa biafra, kuhusu kuwahi sina tatizo kwani sina mtu wakunichelewesha asubuhi,nitashukuru nikiipata hiyo nafasi.ahsante.
Natafuta dada anayejitambua kuuza vipodozi kinondoni mkwajuni, awe anaishi karibu kiasi anaweza kutembea tu kwenda dukani, mtu wa mbali hatakiwi.
Pia awe anajua kusoma na kuandika, awe tayari kufanya kazi saa mbili aaubuhi mpaka saa nne usiku kila siku.
Mwisho awe mchangamfu na kauli nzuri kwa wateja.
Mshahara maelewano. Naomba anipm.
Hey umeshapata mtu coz kuna mdada hapa anaweza hyo kaziNipm
Hey umeshapata mtu coz kuna mdada hapa anaweza hyo kaziNipm