Mdada wa kazi anahitajika

Mdada wa kazi anahitajika

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
37,108
Reaction score
55,524
Anahitajika dada wa kazi za nyumbani, majukumu yake ni kama yafuatayo:-
  • Kufanya usafi wa nyumba, kufua, kudeki, kuosha vyombo
  • Kupika
  • Kucheza na watoto
Ujuzi
  • Elimu ya msingi, sekondari au ualimu wa chekechea
  • Awe ni mtu anayependa usafi, kwake mwenyewe pamoja na mazingira yanayomzunguka.
Malipo
  • Mshahara kwa mwezi 100,000/=
  • Matibabu bure
  • Kula kulala bure
Muda wa mkataba
  • Miezi miwili, kwa sababu aliyepo anaenda mapumzikoni
Faida zingine
  • Kama atakuwa mcheshi, mtu wa kujituma na kujifunza vitu vipya; baada ya mkataba anaweza kuendelezwa na kufanya kazi zingine
Kama upo mkoa wa kilimanjaro au Arusha, itakuwa vizuri zaidi; kwa sababu eneo la kazi ni Arusha.
 
Mimi nina nduguyangu anahitaji. Ni pm. Nikunganishe naye
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom