Unawaza nini muda huu?Heloo.
Hope you are doing poaa!
Leo Nina kaujumbe kadogo kwa rafiki zangu jinsia ya kike!
Ni hivi:Zama za kususa kuzira sijui atanitafuta shost angu utachina!! Miaka hii ukipata mtu anayesomeka tambaa Naye mbele kwa mbele kitaeleweka tu
ivyo
Ni mwendo wa kukomaaa!!!
Sawa wamekusikia maua...Heloo.
Hope you are doing poaa!
Leo Nina kaujumbe kadogo kwa rafiki zangu jinsia ya kike!
Ni hivi:Zama za kususa kuzira sijui atanitafuta shost angu utachina!! Miaka hii ukipata mtu anayesomeka tambaa Naye mbele kwa mbele kitaeleweka tu
Haya Mambo eti nimemfuma na sms za mwanamke simtaki Tena baradhuri yule mshenzyy weweee wapi nyonyo wapi Titi utaganda! Wewe ongeeni Kama ataonyesha kujutia yatengenezeni mjenge mahusiano na safari ya maisha iendelee.
Ipo hivi Hawa wenzetu Kama hamjui wao kulala hata na Chizi kwao ni sawa Sasa wewe jiulize machizi jojina humo barabarani yamepewa mimba na nani?? Ni Hawa Hawa akina Mshana..so Cha kufanya hapa ni kutulia na mtu wako it raining everywhere my dear young sister usichezee Bahati uliyopata ebu angalia single mother wanavyonyanyaswa kwenye maandiko ya humu JF na mtaani Maana mwisho wa siku umri utaenda utaamua kuzaa tu Kama mhe.fulani mrembo unajua why? Maana hakuna asiyependa kuitwa mama Sasa itwa Mama ukiwa na Baba pembeni ndugu au Kanisa au msikiti viwatambue lakini yote yatawezekana mkijenga msingi mzuri wa mahusiano.
Kumetokea mtafaruku kidogo elewaneni songeni mbele Mambo ya kuzira na kususa wenzio watamchukua na utaachwa hapo unashangaa maisha hayapo simple ivyo
Ni mwendo wa kukomaaa!!!
Kashaliwa huyo. Hii id nina mashaka nayo sana lakiniSawa wamekusikia maua...
Lakini Mshana kaingiaje hapa???
Duh😳 huyu mzee wa kilinge kumbe ana kula papuchi za machizi🤣🤣Sasa wewe jiulize machizi jojina humo barabarani yamepewa mimba na nani?? Ni Hawa Hawa akina Mshana.
Umemaliza Mkuu. Wanawake wanawahi sana kujisahau.Mnazitamani sana ndoa mkizipata tu mnaanza Kasi ya kuzibomoa, wanawake wa Kikristo ndio hovyo kabisa Bora uishi nao uchumba sugu hawajui kabisa Nini maana ya ndoa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mimi Kwa upande wangu yupo sahihiumetukosea sana we dada....
Ndio hajakosea kituupande wangu yupo sahihi