Mdada mzuri, tabia za kuku

ndio mkuu, ila sio siri dogo yuko smart, tatizo kugawa ovyo ovyo
Kaka hawa wanawake wazuri huwa wanakuwa wanamatatizo sana nakumbuka nilikuwa na demu fulani ana rafiki yake mmoja mzuri sijawai kukutana na mashine kali sasa Cha ajabu uyo demu mkali aliolewa harusi ilikuwa ya kifahari sana lakini huwezi amini wamefunga ndoa leo kesho ndoa imevunjika yani sijajua hawa wadada warembo huwa wanashida gani, tuwe makini waoaji
 
Story za mademu kitambo sana,umri kweli unakimbia.niwatakie milo myema na uyo mshkaji wako
 


Sent from my SM-N960U1 using JamiiForums mobile app
 
Kizuri kula na mwenzako
 
humu ndani unaweza kutuma meseji ukitegemea itapokelewa kwa shangwe ila matokeo yake utajibiwa hd ujione uko uchi
 
Unauza watu Mkuu,,?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…