Mdada mzuri, tabia za kuku

Hii itakuuma tu hata kama unajifanya humpendi. Kitendo cha kumkuta anachatt na wanaume 4 kama wapenzi na kumsamehe kinaonyesha huwezi chomoka kirahisi kwake.
 
Mzee baba nipe namba ya mmoja wao hasa mwenye shepu
 
Samahan mleta mada ni Me o Ke?
 
Hii itakuuma tu hata kama unajifanya humpendi. Kitendo cha kumkuta anachatt na wanaume 4 kama wapenzi na kumsamehe kinaonyesha huwezi chomoka kirahisi kwake.
kwani naoa ila angekua mke ningeua mtu, sema kutumia kondomu ni mhimu

Sent from my SM-N960U1 using JamiiForums mobile app
 
Kama wewe alikukubalia sasa akatae wengine ili iweje, ashatambua kuwa hata kwako kajiegesha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…