Mdada mzuri, tabia za kuku

Naona wengi wenu mnamtuhum, maana hayajawafika bado, sema mkuu apo amekosea kumuuza, ila katika suala zima la mapenzi lina siri yake.dem waweza muelekeza kabisa kuwa upemdi k2 hiki akakuelewa baada ya muda akaendeleza tabia zake.

NB:kumfuga sungura poli ni ngumu sana.
 
Yaani unampa namba mtu amjaribu mpenzi wako😂😂 afu bado karoho kanampenda..utaumia bure...
Ila kuna charges yoyote unapewa ukigawa namba kutuliza maumivu kidogo au ndo kizuri kula na mwenzio kiroho Safi🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mungu akuhurumie mana kama mama ako mzazi angefanyiwa hivo usingekuepo kenge wew
 
Mi ata sijaona kama roho inamuuma ila amesema tu reality
 
kizuri kula na mwenzio ndugu

Sent from my SM-N960U1 using JamiiForums mobile app
 
kangekua kanauma ningemwambia demu usiende kwa uyo jamaa, so ninhemuarbua jamaa
, ila nasubili ale kwanza

Sent from my SM-N960U1 using JamiiForums mobile app
 
wew ndio dem mwenyew unajiuza acha kuzuga
 
Unapotea kijana Duuuh kwa style io utauza wangap
?
Mwanamke mwenye tabia nzur utengenezwa na mwanaume wke kama kwl unampenda mbadlshe tabia awe unavotka akuna wife material from heaven
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…