Ni kweli mkuu [emoji23][emoji23][emoji23] ila hao wengine nmemkuta nao na anaendelea nao, yaan akiongea kama mtu vile, ata wewe atakukubali na mimi naweza kuendelea kupiga ila sahivi naogopa nimzuri haswa na shape lipo hatareee.Kwa tafsiri nyengine we ni kiuza dada zetu!.. hizo ni akili za kishamba kamongo wewe! Na huenda kakuona fala sana ndio maana anaona sawa tu kuwakubali wengine.. unaweza kuona ye ndo tatizo kumbe wewe ndo tatizo limekujaa lkn upofu wa akili huoni..
Basi isiwe tabu hebu weka namba yake nione namsaidiaje..[emoji23]
nmeshndwa, analiwa na ma ex zake, yaani anagawa haswa, na hua namtoa sana out ila jau, [emoji23][emoji23], yaani round hii haniambii kitu, ngoja jamaa amle kwanzaWahenga embu wasaidieni vijana wenu maana ni Kama hawafahamu wajibu wao.
Mwanaume ni baba kwa mke/mpenzi wako tambueni na kufahamu mwanamke hajui anachokitaka yafaa umlinde, umfundishe na kumtunza. Sio kumfundisha kwa notes za darasani ila inapaswa ajifunze kutoka kwenye maneno na matendo yako. Misimamo na maono yako ndio itakayomshepu awe vile unavyotaka wewe. Muhimu na kubwa kuliko yote tambua kusudi la Mungu kwenye maisha yako na siku zote hakikisha unadumu katika pendo la Mungu. Wanawake ni wasaidizi wetu tuwalinde na kuwalekeza vema. Barikiwa sana kijana
sawa, ila sio sana mimi sina tatizo, nmemfuma sana, unamwambia habadlki sawa nachepuka sana ila kuchepuka msichana ni jauHata wewe ubongo wako una minyoo ya ujinga.
Nimeona naandika maneno mengi kisha nafuta Sasa nifanye shortcut maana wewe ni mjinga.nmeshndwa, analiwa na ma ex zake, yaani anagawa haswa, na hua namtoa sana out ila jau, [emoji23][emoji23], yaani round hii haniambii kitu, ngoja jamaa amle kwanza
Sent from my SM-N960U1 using JamiiForums mobile app
ela ipo japo sio sana, na mara kwa mara hua namuulza umebakza sh.ngapi na unahitaji kuongezewa sh.ngapiNimeona naandika maneno mengi kisha nafuta Sasa nifanye shortcut maana wewe ni mjinga.
Tafuta maana ya neno mtu alafu ukimaliza tafuta maana ya mtu mume ukimaliza tafuta mtu mzima mwenye hakima ukikosa kwenye jamii yako pm hata kwa mshana.
Jambo la mwisho pesa pia ni kipimo cha akili usipokubali kubadilika maandishi yako yanaonesha utakufa masikini
na haipiti siku 3 sijampa ela walau ata 20k, but ata alonifanya nmjue alnambia huyu mtu ni mambo mengiNimeona naandika maneno mengi kisha nafuta Sasa nifanye shortcut maana wewe ni mjinga.
Tafuta maana ya neno mtu alafu ukimaliza tafuta maana ya mtu mume ukimaliza tafuta mtu mzima mwenye hakima ukikosa kwenye jamii yako pm hata kwa mshana.
Jambo la mwisho pesa pia ni kipimo cha akili usipokubali kubadilika maandishi yako yanaonesha utakufa masikini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona mnapoteza muda kumshauri mtoto ambaye bado balehe inamsumbua, yeye mwenyewe bado hajitambui.