Mlima meru
Senior Member
- Dec 30, 2012
- 114
- 20
Wewe una umri gani? Kama miaka 40 hadi 55 kuna mdada anatafuta mwanaume wa umri huo. Mpm mmalizane
rorena
Kabla hajataja umri wake, aseme mke wake alifariki kwa ugonjwa gani na ameacha watoto wangapi???????
Kama wewe ni mdada/mama wa umri huo na unataka kuwa na rafiki wa kiume wa kumwamini
Sifa;
Naomba kama unasifa hizo unitumie private message (pm)
- Awe na Afya njema
- Awe na kipato chake kizuri
- atakuwa huru kuwasiliana na mimi na kukutana kwa nafasi itakayokuwepo
Akiwa yupo hii Mikoa ya kilimanjaro au Arusha itakuwa powa zaidi
Naomba kama hii mada haikuhusu uachane nayo....pleaseeeee!
Na atoe bank statement.......na nyaraka ya mali zisizohamishika.......
Apoligise lady, nimesema huyo mdada awe na Afya njema, singeweka hiyo sifa kama mimi sina.
kaunga; Rorena amesema anatafuta mume, mimi nimesema natafuta rafiki (ni sifa mbili tofauti)
preta; kuhusu suala la kichumi hiyo Ni sifa ya ndani na inamuhusu muhisika, ila kiujumla mimi Nina simple life ndio sababu nikataka rafiki yangu awe stable