Mkuu oa usonge mbele, muda hausimamisijahitaji mdada mwenye hela ndugu, mimi sio tegemezi kabisa
sijahitaji mdada mwenye hela ndugu, mimi sio tegemezi kabisa
sio Lengo langu, kwa wenye uhitaji huu wameelewa Ndugu
Kwanini wanajiuza???
OnlineHaya sasa wadada mnaotaka furaha
Wadada hamtaki wanaume wasio na pesa...wakaka nao hawataki wadada wanaopenda pesa.Una hela au wataka kulelewa?
swal zuri sana ujueUna hela au wataka kulelewa?
πππWadada hamtaki wanaume wasio na pesa...wakaka nao hawataki wadada wanaopenda pesa.
Sasa hapa mchezo mnaocheza ni kila mmoja anamkimbia mwenzake...
Usingle hautaisha kiurahisi.