Mdada aliye makinia akitokeze tuwajibu na kuwaenzi The Bold na Nifah

Asante kwa birthday wishes mkuu,ubarikiwe sana.

Kuhusiana na mada ngoja nikupe siri...Mimi na Bold tuliumbwa kuwa wapenzi yani hatukujua kabisa kama kuna siku tungekuja kuwa wapenzi hapo kabla.

Ila baadae mapenzi yalianza kujijenga mioyoni mwetu taratibu,kila mmoja kwa namma yake lakini hakuna aliyethubutu kumueleza mwenzie.

Na hata wakati tumeanza kufanya mawasiliano Bold alinikuta single,na nilikuwa nimevurugika kweli kwa mazonge ya mahusiano niliyokuwa nayo hapo kabla...ila taratibu aligain trust yangu,japo nilikuwa nampenda lakini nilikuwa nasita.

Baada ya kujidhihirisha huyu ndiye hasa niliyekuwa nikitamani kuwa nae tuliingia rasmi ktk mahusiano.
Achana na haya uyaonayo huku JF,kiukweli tunapendana sana,sana yani hadi huwa tunajishangaa wenyewe.
Kiasi Bold huwa ananiuliza "Nifah hatujazaliwa pamoja kweli?Hatujasoma pamoja?Hatujaishi pamoja? (hapo kabla)"
Yote ni kutokana na vile tulivyoshibana.

What am trying to say is...mapenzi ya ukweli yapo,haijalishi wapi utakapokutana na soulmate wako,ila amini yapo.
Achana na wanaoukukatisha tamaa kuwa hapa hutompata mwanamke serious,mimi na Bold tulikutana humuhumu.

Mungu akufanyie wepesi nawe umpate 'Nifah' wako
Ila sasa nawe uwe serious,usitake kumpata mwenzi aliye serious huku wewe hujawa tayari kusetlle down.
Kila la kheri
 
Sante Nifah! Shemeji yangu kwa kunitia moyo...!

Binafsi nikili sikufahamu kwa sura ila kwa mwenendo wako humu jf nakufahamu vyema kabisa. Unajiheshimu sana, uko na spirit ya kutokata tamaa na pia unajua nini unataka na kwa wakati gani, kikubwa unamwelekeo you know ulikotoka, uko wapi na wapi unaelekea (determination).

Kiufupi nakupongeza sana na ndugu yangu THE BOLD Mungu wetu awaangazie muishi maisha ya furaha siku zote.

Wanaoponda wanajua why wanaponda, maana huwa spotezi muda kwa mtu unayemfahamu. Binafsi ninatabia ya kumfollow mtu kwa muda ili nimfahamu.

Asante na hongera Mungu akupe miaka 1000 ya ziada mbele.
 
Hahahahahh
Bigmind umechukua fursa ya The Bold na Nifah kutafuta mupenzi

Ila ungepost kule love connect
Huku chit chat watu wanaona kama masihara

Best luck asee
Normally sina haraka nifanyapo mambo yangu lengo kubwa ni kumpongeza NIFAH na THE BOLD. Akitokea mpenzi yatakuwa matokeo ndiyo maana nikatia angalizo kwamba usije kujisogeza makutano junctions km huna determination.
 
Unaonea wivu mahusiano ya watu,,,ha ha ha ha kweli kizaz cha nyoka ni nyoka tu,, hakuna kitu utakachoweza kumiliki kwa kuangalia couple ya Shem Nifah na Comrade Bold,,unachopaswa kufanya wewe ni kutafuta Couple yako uje nayo,,sio kwa sababu umeonea wivu ya mtu... Sio kwamba umevutiwa na wao nop umewaonea wivu... Usijaribu kua kama wao,, jitahidi uwe wewe ili watu wengine wavutiwe na wewe...

KUMBUKA BINADAMU ANACHOKIMILIKI PEKEE NI TABIA,,HAWEZ KUMILIKI KINGINE KTK DUNIA HII ZAID YA TABIA AMBAYO NDIO INAKUFANYA WEWE UWE WEWE ctakua adui kwa kusema ukweli
 
Unatafuta mke au? Mana sijaelewa. Kama ni mke si uwe tu direct! Hizo pickup line zako achana nazo. Be you and find someone who'll fit you kwa maisha yako sio kwa JF!
GROW UP!!!
 
Sante Nifah! Shemeji yangu kwa kunitia moyo...!

Binafsi nikili sikufahamu kwa sura ila kwa mwenendo wako humu jf nakufahamu vyema kabisa. Unajiheshimu sana, uko na spirit ya kutokata tamaa na pia unajua nini unataka na kwa wakati gani, kikubwa unamwelekeo you know ulikotoka, uko wapi na wapi unaelekea (determination).

Kiufupi nakupongeza sana na ndugu yangu THE BOLD Mungu wetu awaangazie muishi maisha ya furaha siku zote.

Wanaoponda wanajua why wanaponda, maana huwa spotezi muda kwa mtu unayemfahamu. Binafsi ninatabia ya kumfollow mtu kwa muda ili nimfahamu.

Asante na hongera Mungu akupe miaka 1000 ya ziada mbele.

Awwwwwwwww asante sana mkuu.
Ni faraja kuona mtu anauthamini mchango wako namna hii.

Ameeeeen
 
Asante kwa birthday wishes mkuu,ubarikiwe sana.

Kuhusiana na mada ngoja nikupe siri...Mimi na Bold tuliumbwa kuwa wapenzi yani hatukujua kabisa kama kuna siku tungekuja kuwa wapenzi hapo kabla.

Ila baadae mapenzi yalianza kujijenga mioyoni mwetu taratibu,kila mmoja kwa namma yake lakini hakuna aliyethubutu kumueleza mwenzie.

Na hata wakati tumeanza kufanya mawasiliano Bold alinikuta single,na nilikuwa nimevurugika kweli kwa mazonge ya mahusiano niliyokuwa nayo hapo kabla...ila taratibu aligain trust yangu,japo nilikuwa nampenda lakini nilikuwa nasita.

Baada ya kujidhihirisha huyu ndiye hasa niliyekuwa nikitamani kuwa nae tuliingia rasmi ktk mahusiano.
Achana na haya uyaonayo huku JF,kiukweli tunapendana sana,sana yani hadi huwa tunajishangaa wenyewe.
Kiasi Bold huwa ananiuliza "Nifah hatujazaliwa pamoja kweli?Hatujasoma pamoja?Hatujaishi pamoja? (hapo kabla)"
Yote ni kutokana na vile tulivyoshibana.

What am trying to say is...mapenzi ya ukweli yapo,haijalishi wapi utakapokutana na soulmate wako,ila amini yapo.
Achana na wanaoukukatisha tamaa kuwa hapa hutompata mwanamke serious,mimi na Bold tulikutana humuhumu.

Mungu akufanyie wepesi nawe umpate 'Nifah' wako
Ila sasa nawe uwe serious,usitake kumpata mwenzi aliye serious huku wewe hujawa tayari kusetlle down.
Kila la kheri
daahh!!boss kala ban tena
imekuaje?!!!
 
nimesoma ile comment yako..hongera kwa kumpata akupendae na ukampenda akapendeka na kukusahaulisha machungu ya nyuma.
ukweli upendo wa kweli siku hizi ni adimu sana..wengine tushakata tamaa..ive lost hope now nangalia yangu..
Kamwe usikate tamaa , huwezi jua kwenye akiba yako mungu kabakisha nn .
 
huyu jamaa ashanitukana sana hanaga adabu huyu nilikuwa nimemuignore ngoja nimlipizie
23c46f3d576172394e4582da0cc2f835.gif
ww Dada grace hebu niletee na juice ya maembe nishushie.
 
Back
Top Bottom