Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,688
huyo ndo anafaa haswa wallahi we muwekee moto mdogo tu aive taratibu....mchuzi huu mtamu,haukinaishi maana hauna mafuta waweza ule mpaka basii....Shoga kuku huyu wa kienyeji nlionae mie anawivaa masaa 2 naimba nyimbo zote jikoni ndio awive lol
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
BAK amu King'asti Mrs Kharusy Angel Nylon The Boss JERRY msigwa Kim nana mje bonge la pishi hili apa
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
huyo ndo anafaa haswa wallahi we muwekee moto mdogo tu aive taratibu....mchuzi huu mtamu,haukinaishi maana hauna mafuta waweza ule mpaka basii....
Nishafika jamani...yani ile kusoma sentensi ya kwanza "kuku wa kienyeji" mate yamenidondokaaaa
Halafu umemsahau mshana jr aka senior Bachelor!
huyo ndo anafaa haswa wallahi we muwekee moto mdogo tu aive taratibu....mchuzi huu mtamu,haukinaishi maana hauna mafuta waweza ule mpaka basii....
karibu dia….Asante kwa pishi shost wetu.
Ntalifanyia kazi in sha Allah.
umeenda kuosha mach wapi shosti?Leo naenda osha macho apo nje shoga ntampika kesho huyu ntamtia na kotmir ili nijirambe vizuri lol
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
umeenda kuosha mach wapi shosti?
he he he pishi tam sana hili .jaribu utuletee mrejesho .
Sawa mkuupishi tamu sana hili gorgeousmimi naomba pia utuwekee recipe za kukaanga maini ili yawe matamu na kuku wa kukaanga, nitashukuru
wengine ni wageni hapa Yerusalemu......Sawa mkuu
ok, jina ndo lilikuwa linanizingua, si ni sawa na tomato paste?Nyanya ya kopo mpenzi!ipo concentrated na ina muonekano huu View attachment 163687