Mchunge sana mkeo wakati wa hedhi, kuna watu huchukua damu za hedhi zao

Ww umelogwa sio bure.
Tena unatatizo la akili la kutengenezwa



NAMNUKUU MWANA JF MMOJA
Nyumba ya mganga na nyumba ya Chifu haipungukiwi ni msemo wa wazee huo. Umemtibu mtu analeta shukrani kwa alichofanikiwa.
Sifa za Mganga wa kweli.
Mganga wa kweli hakutozi hela nyingi kuliko alivyopangiwa na mizimu iliyompa uganga maana uganga wa kweli lengo lake ni kusaidia jamii, uganga ni jadi na lengo lake ni kuisaidia jamii toka enzi na enzi ni bahati mbaya sana kuufanya uganga kuwa dili la kuwaibia watu, hii sio lengo la uganga kwa asili yake.

Uganga wa kweli mara nyingi ni ule unaotokana na kurithi toka kizazi mpaka kizazi sio ule wa kujifunza,ukanjanja, udii na ulozi wa kuwatupia watu mabalaa kwa lengo la waje uwatibu.

Mganga wa kweli lazima atakukurahishishia shida ulionayo na kama imemzidi uganga atakwambia au atakuposti kwa wajuaji zaidi wa shida yako (Waganga wanafahamiana kwa uwezo na nyanja kama walivyo walozi).

Mganga wa kweli atakutibu ili upone ndo akufaidi zaidi kwa shukrani na zawadi na uaminifu wako kwake na ndio faida ya uganga wa kweli. Huyu mganga hutamwacha kamwe kwenye kulingana na alivyotatua shida yako.

Kuna jangiri alijeruhiwa na nyati porini nyati alivunja vunja miguu, yule mwamba wenzie walimbeba mpaka kijiji cha jirani huko Katavi kwa mganga. Mganga akawaambia wale wenzake mje mumchukue baada ya wiki tatu muache debe moja la unga. Wenzie waliporudi baada ya wiki 3 walikuta anatembelea fimbo na akapona mifupa na akarudi kwenye ujangiri wake na akipata mnyama lazima apeleke nyama kwa Mganga.

Onyo: Nazungumzia waganga wa kweli sio matapeli wa mjini na mapropesa.

Watu wanaibiwa na wanachanganya sana kati ya Ulozi, Ugagula, Uganga na Mazingaombwe, kiini macho.

MIMI NAANDIKA NA NINA MGANGA WA UHAKIKA
Kama mtu anataka mganga wa uhakika mganga wa Tanga aje pm ilaa aandae kunitumia 20,000 Kwa ajili ya connection.
Anatibu Kwa kutumia jinalako na mama Yako.
Kulingana na tatizo kubwa sana anaweza kukuambia uende Tanga mjini.


Alisikika m Tanzania mmoja akisema Vibora vinagharama. ( Quality is Expensive) kama hutaki unataka cheap chukua ya kwenye nguzo. za umeme utapeliwe.
Nikimtapeli mtu anireport nipigwe life ban
Karibuni PM/DM


Tatizo kubwa ni usumbufu wawatu
Kuja dm na kukimbia
kuuliza maswali yasiyo na kichwa Wala miguu
waulizeni wenzenu niliowapa namba jinsi wamefanikiwa kimaisha.


Watu wanaamini uganga hausaidii watu asikudanganye mtu waganga uzunguni ni matajiri sana kama unataka uamini
Ingia TikTok Kuna jamaaa anaitwa DANIEL MACDONALD anaulizaga wazungu matajiri what do you do for a living, wengi ni waganga na wale dream tellers watafsiri wa ndoto Wana magorofa magari na maisha Bora sana na conclude
mganga anatibu matatizo mengi ni ww kumweleza tatizo lako karibuni
 
Halafu hii makala ineandikwa na mwanaume

Pole kwa mama mzazi wake

Mtoto wa kiume kuandika mambo ya kike

Eee.Mungu tunususuru waja wako na hili janga la watoto wa kiume kupenda habari za kike
 
Ushahidi upi unauitaji wewe ili ujue kua damu za hedhi zinaitajika kwenye kuendesha mambo na teknolojia kubwa kubwa na za kutisha?
Hatujui sisi tusaidie wewe kutaja hizo teknolojia, unajua mtu kama wewe una akili isipokuwa imani potofu ndio imekupumbaza fikra na kuonekana mjinga, na ndio maana ukiambiwa lete ushahidi wa hayo uyasemayo huwezi kudhibitisha maana ni kitu kisicho na ushahidi, ila wewe unajifanya mjuaji, na ndio maana unatapeliwa kirahisi na hao wajinga wenzako wanaojiita waganga wa kienyeji, na usikute wamekula hela zako kwa ujinga huu.
 
Halafu hii makala ineandikwa na mwansume

Pole kwa mama mzazi wake

Mtoto wa kiume kuandika mambo yake

Eee.Mungu tunususuru waja wako na hili janga la watoto wa kiume kupenda habari za kike
Wewe ni mtu mzima na huenda umenizidi miaka(100% sure),ila nakutukana leo hii na kusema kuwa unaonekana ulibemendwa,na ndiyo maana unaleta mambo ya kishosti. Uzi huuelewi just ignore it and leave
 
KABLA YA KUOA KWANZA NIAHAKIKISHE NINA HELA, BAADA YA HAPO PIA NIHAKIKISHE NAMUHUDUMIA KWA KILA KITU, KISHA BADO NIISHI NAE KWA AKILI, NA PIA MWISHO NILINDE DAMU YAKE YA HEDHI NA PIA NIHAKIKISHE SILI NYAMA KILA AKIINGIA HEDHI HE!!!!! SASA KUOA KUNA RAHA GANI KWA MWANAUME? eti dronedrake
 
We si utaje tu hizo technology? unajua mtu kama wewe una akili isipokuwa imani potofu ndio imekupumbaza fikra na kuonekana mjinga na ndio maana ukiambiwa lete ushahidi wa hayo uyasemayo unaishia kubwabwaja.
Mbona nishazitaja? Rudia kusoma mwanzo mpaka mwisho wa uzi
 
Hii issue kumbe ni kubwa namna hii duh

Hedhi ni kitu kikubwa sana
Ukitaka mafanikio, maisha marefu duniani, nguvu na mamlaka heshimu hedhi ya mkeo na mtu yoyote wa nyumba yako. Kwenye huo msimu mpe muda wa mapumziko ya kazi za ndani pia

Walawi 15:33 NEN
"kwa ajili ya mwanamke katika siku zake za hedhi, kwa ajili ya mwanaume au mwanamke atokwaye na usaha, na kwa ajili ya mwanaume alalaye na mwanamke ambaye ni najisi kwa kawaida ya ibada."

Walawi 15:25 NEN
“ ‘Ikiwa mwanamke atatokwa na damu kwa siku nyingi zaidi ya siku zake za mwezi, au amekuwa na damu inayoendelea zaidi ya kipindi chake, atakuwa najisi kwa kipindi chote cha shida hiyo, kama ilivyokuwa katika siku za hedhi yake."

KRISTO YESU ALIPOGUSWA NA YULE MWANAMKE ALIYEKUA AKITOKWA DAMU NGUVU ZILIMTOKA SIJUI WEWE MWANAUME INAKUAJE
MARKO 5: 25-34
"Na mwanamke mmoja mwenye kutoka damu muda wa miaka kumi na miwili, na kuteswa mengi kwa mikono ya matabibu wengi, amegharimiwa vitu vyote alivyo navyo, kusimfae hata kidogo, bali hali yake ilizidi kuwa mbaya aliposikia habari za Yesu, alipita katika mkutano kwa nyuma, akaligusa vazi lake; maana alisema, Nikiyagusa mavazi yake tu, nitapona.
Mara chemchemi ya damu yake ikakauka, naye akafahamu mwilini mwake kwamba amepona msiba ule.

Mara Yesu, hali akifahamu nafsini mwake kwamba NGUVU ZIMEMTOKA, akageuka kati ya mkutano, akasema, Ni nani aliyenigusa mavazi yangu?

Wanafunzi wake wakamwambia, Je! Wawaona makutano wanavyokusonga-songa, nawe wasema, Ni nani aliyenigusa?

Akatazama pande zote ili amwone yule aliyelitenda neno hilo.

Na yule mwanamke akaingiwa na hofu na kutetemeka, akijua lililompata, akaja akamwangukia, akamweleza kweli yote.
Akamwambia, Binti, imani yako imekuponya, enenda zako kwa amani, uwe mzima, usiwe na msiba wako tena."
 
Hedhi ni kitu kikubwa sana
Ukitaka mafanikio, maisha marefu duniani, nguvu na mamlaka heshimu hedhi ya mkeo na mtu yoyote wa nyumba yako. Kwenye huo msimu mpe muda wa mapumziko ya kazi za ndani pia
Sasa mbona nyie hamtumii ili kupata hizo nguvu na mamlaka
 
Hii issue kumbe ni kubwa namna hii duh
Haina ukubwa wowote, basi tu wajumbe wameamua kufuta huu ujinga
Ndio maana Kuna waganga wanawatuma wateja wao walete Uzi wa nguo ya ndani.
Kwa kuwa pesa yako anaitaka lazima akuambie hivyo we ulitaka akuambieje ulivyo mjinga ukisikia uzi wa chupi unapagawa, na kuku wawili mweupe na mweusi mchele kilo tano nazi nne, anakupa midawa ya kuogea, anachukua mchele kiganja kimoja nazi moja na vichwa vya kuku na ile damu mnaenda naye njia panda kutupa hapo kishakutapeli, wale kuku mkewe anachinja anapika na kula wali nazi, we jiulize hivi kuna kuku mweupe au mweusi bali kuna manyoya meupe na meusi na kutokana na uoga na ujinga huwezi kumuuliza yaani mnawalisha waganga na kuwapa fedha kwa ujinga wenu.
 
Back
Top Bottom