Embu cheki kidogo mwana wa kwetu, -Ilikuwa hivi m
Mlevi kaona mchungaji anawabatiza watu naye akajisogeza mchunaji akamuuliza nawe unahitaji kubatizwa mlevi akasema ndiyo. Mchungaji akamzamisha mara 1 akamwambia umempokea yesu akasema bado mara 2 mara ya tatu mlevi akauliza mna uhakika yesu alizama hapa