Mchungaji Oswald Mbaula wacha kuivuruga Mvomero

Mchungaji Oswald Mbaula wacha kuivuruga Mvomero

mr arsenal

Member
Joined
May 21, 2012
Posts
35
Reaction score
6
katika hali isiyokuwa ya kawaida ndani ya chadema tayari amajitokeza mtia nia katika jimbo la mvomero kupitia chadema(mch oswald mbaula).akitumia approach ambayo tumeizoea kuiona upande wa pili kwa magamba. mbaula akimtumia katibu wa wilaya mvomero ndg Mrisho kuratibu zoezi la yeye kujipigia chapuo mbele ya wananchi kuwa yeye ndiye mgombe ubunge kupitia chadema na kwamba yeye binafsi amezingatia maombi ya viongozi wa madhehebu ya dini(yeye ndie katibu wao) kwamba wamemuamba agombee jimbo la mvomero. kwa kumtumia ndg mrisho mtia nia huyu ameanzisha timu yake ambayo anaifadhili yeye kwa kuwapa pesa za kuwahonga viongozi wa ngazi mbali mbali huku wakieneza propaganda chafu kuwa watu wengine wamejitoa kwenye mbio hizo yaani watia nia kama (chacha, dr marcus na engineer owden matokeo). kwa mutkadha huu nawaomba makamanda na viongozi wa chama kulingalia hili kwa jicho la tatu kwani huyu bwan anafanya hivi kwa kisingizio na mwamvuli wa eti anajenga chama lakini ana lengo binafsi zaidi ya hio na madhara yake ni makubwa sana kwa chama kwa kuwa anatengeneza makundi na hata kuweza kuleta migogoro isiyo ya lazima.



 
Sidhani kama kuna ubaya kwa mtu kutangaza nia ya kugombea, ingekua mbaya kama hilo jimbo lingekuwa chini ya chadema
 
Back
Top Bottom