Sio kama, ni wamechanganyikiwa kabisa.Walokole bana!!! Ni kama wanechanganyikiwa
Kweli hawa wahimizwe waendelee kuomba hadi pale watakapomwamini Mungu kwamba yeye alisema ninyi ni mavumbi na mavumbini mtarudi.Waongeze bidii ya kuomba kwa wiki mbili atafufuka tu Hahahahahahahahahaha
Wewe ni mutu ya wapiIliwahi tokea bukoba askofi mwenye kanisa alikufa waumini na mama askofi wakaanza omba afufuki wanaishikashika maiti mpaka ikarudisha chakula wakadhani anataka fufuka.
Yani ilibidi polisi waingilie kati wazike kwa nguvu
Hahaha mkuu hizo errors usizijali hizi simu touch zinanipa wakati mgumu kuandika na uwa sirudii kusoma.Wewe ni mutu ya wapi