mlevi na mchungaji walikutana ndani ya daladala, sasa mchungaji hakupendezwa na kitendo cha yula mlev kulewa ndani ya daladala akaamua kumuuliza swali na mazungumzo yao yalikua hivi:mchungaji: hivi wewe unamjua mungu kweli? mlevi: hapana cwez kumjua kwasababu mm sio mwenyeji hapa ni vyema ukamuuliza kondakta