naona unajifariji baada kuandika kama bata anacheza maji machafu.Hewa kabisa mkuu
Kuna Jambo unamiss Kijana,Mch. Msigwa ni;
{1}Mbunge
{2}Mjumbe wa Mkutano Mkuu
Chadema
{3}Mjumbe wa Baraza kuu
Chadema
{4}Mjumbe wa Kamati Kuu
Chadema
{5}Mwenyekiti wa Chadema
Mkoa
{6}Mwenyekiti wa Kanda
baada ya wagombea
wengine kuenguliwa!
{7}Waziri kivuli Maliasili na Utalii.
{8}Mchungaji.
"RAISI APUNGUZIWE MADARAKA, NA WAKUU WA MIKOA PIA WANA VYEO VINGI SANA WAPUNGUZIWE" by Peter Msigwa 2015.
Sasa hapo wa kupunguziwa ni yupi? Wapinzani wanafanya siasa za maji ya chumvi
VimeishaMasikini Sosopi!
Mpeni basi ata ka cheo kokote kalikobakia
Masikini Sosopi!
Mpeni basi ata ka cheo kokote kalikobakia
inamantikia gani mkuu
jibu hoja ni kweli ,msigwa anavyeo hivyo???
Raisjibu hoja ni kweli ,msigwa anavyeo hivyo???
kwani limetekwaaa....Umakamu mwenyekiti wa Bavicha unamtosha kwa sasa, ngoja kwanza akue, yeye ni kijana sana vyeo atavikuta tu huko mbeleni. Kwa sasa kipaumbele sio vyeo, ni ukombozi wa taifa letu.
Nna wasi wasi na uwezo wako Mkuumtoa post nazan inabf akubal kwenda shule. nafas alizonazo msigwa hakuna hta moja yenye madaraka ya kuamua jambo kama akitaka. ni had ashirikiane na wenzake.tofauti na madaraka alo nayo rais akiamua leo usitoke nje ya nyumba yako inakua hivyo.