Mchungaji anaswa akitaka kumchinja mwanaye

Mchungaji anaswa akitaka kumchinja mwanaye

weee unayejiita laki si pesa...mmsiwadharau viongozi wa kisiasa kutumia mgongo wa kidini....nchi ikiwa chini ya ukawa utakimbia nchi weweeeee
 
Siku zote nasema HIZI DINI NI GOVI LA UBONGO

Huu ujinga ulipoteza maisha ya classmate wangu mtoto wa mchungaji,dogo malaria imebamba vilivyo wao wako busy SHETANI TOKA.

Siku hizi kabadili dini kawa muislamu tena.
 
We jamaa ujuaji mwingi sana eti only in Africa!! Hivi unaishi wapi kwanza?! Haya mambo ya kushikana vichwa yapo sehemu nyingi tu nje ya Afrika kama hujui uliza uelimishwe. Hilo moja sasa suala la imani kuwa ugonjwa au la ni kitu kingine tunaweza kujadili lakini kwanza acha kutoa hizi blanket statements ambazo hazina ukweli wowote.

Niambie nchi gani nje ya Africa kuna mambo kama hayo?.Itaje hapa hiyo nchi.Ni Africa pekee utakuta watu zaidi ya 1000 wamekaa wanamsikiliza mtu mmoja anayewabia eti wakifa wataenda mbinguni.

Ni Africa pekee ambapo mp..umbavu mmoja anawaaminisha watu eti ana uwezo wa kufufua wafu kisha anakusanya pesa zao na kununua magar ya kifahari huku waumini wakinaki karika lindi la umaskini.Poor country poor people
 
Hakika kuwa mgalatiai ni laana ya milele.Bora kukosa akili kuliko kuwa mgalatia(kafiri).
 
Angefanikisha ili kanisa lake lingepata customers wengi sn.
 
Niambie nchi gani nje ya Africa kuna mambo kama hayo?.Itaje hapa hiyo nchi.Ni Africa pekee utakuta watu zaidi ya 1000 wamekaa wanamsikiliza mtu mmoja anayewabia eti wakifa wataenda mbinguni.

Ni Africa pekee ambapo mp..umbavu mmoja anawaaminisha watu eti ana uwezo wa kufufua wafu kisha anakusanya pesa zao na kununua magar ya kifahari huku waumini wakinaki karika lindi la umaskini.Poor country poor ideas,

Hivi mtaalamu unajua unakufa lini? Au hata kufa huamini??
 
Imani ni ugonjwa mbaya sana na hatari kuliko mahonjwa yote yaliyokwisha wahi tokea

Only in africa ambapo watu waliokosa kazi hukusanyana na kuimba wakiamini kwamba kuna mtu/kitu/nguvu iko mahala inawasikia.

Only in africa ambapo mtu anamshika mwenzake kichwa na kusema et shetan toka kisha mtu yule anaanza kurusha miguu hovyo.

Zama za ujinga zimekwisha...

Karibuni katika ulimwengu huru....

""Ikiwa kuna mtu /watu wanadhani kwamba eti mahala fulani kun amtu/kitu kinachokontro ulimwengu na kwamba kuna maisha fulani baada ya kufa,Hao ni wajinga waliopitiliza-Free ideas

Wewe endelea kukufuru na pumzi za bure unazopumua na kujambajamba hovyo sijui umekula maharage ya wapi yale.mazingira tu yanaonyesha kuwa kuna power inacontrol.
 
Inawezekana matukio kama haya yapo mengi lakini hayatangazwi. Mtu akijua kusoma biblia aya 2, 3 anaanzisha kanisa lake huku akisema katokewa na roho mtakatifu.
 
Wewe endelea kukufuru na pumzi za bure unazopumua na kujambajamba hovyo sijui umekula maharage ya wapi yale.mazingira tu yanaonyesha kuwa kuna power inacontrol.

Mazingira gani?,yanaonesha kivipi?.Kwa nini unakata tamaa na kuamini hivyo?.Miaka 100 baada ya Yesu(kama alitokea maana hakuna ushahidi mpaka sasa) iliaminika kwamba hata tetemeko la ardhi,tsunami,mafuriko na hata Volcano ni adhabu za mungu kwa wanadamu sababu ya dhambi.Lakini leo hii tunajua kwa nini vinatokea na tunaweza kujua dalili zake na kuchukua tahadhali kabla havijatokea.

Usiwe mvivu wa kufikiri kijana.Zamani za ujinga zimepita ambapo watu walidanganywa na kufuata maswala mbalimbali bila kuwa na ushahidi wala uelewa.Watu waiamini kwamba wanaweza kuomba mvua na ikanyesha,lakini sasa tunajua kwamba zilikuwa ni fix zilizotumika kuwateka watu akili ili kuwatawala kirahisi.Leo hii tunajua kwamba kama hakuna chanzo kama misitu,ziwa,ama mito ili tupate evaporation kisha tupate precipitation kisha tupate water drops(mvua) hakuna cha mvua.UnaweA kusali na kuomba mpaka uchubuke magoti.

Karibu sana katika ulimwengu huru....
 
Asili kivipi? ni nani aliyekuambia kwamba kufa ni asili?

Kama hujui kitu uliza sio kuhoji kana kwamba unajua,hakika nakwambia hata ukimjua aliyeniambia kufa ni asili haita maanisha mungu yupo.Lakini kabla ya kwenda mbali thibitisha kwamba mungu yupo
 
Niambie nchi gani nje ya Africa kuna mambo kama hayo?.Itaje hapa hiyo nchi.Ni Africa pekee utakuta watu zaidi ya 1000 wamekaa wanamsikiliza mtu mmoja anayewabia eti wakifa wataenda mbinguni.

Ni Africa pekee ambapo mp..umbavu mmoja anawaaminisha watu eti ana uwezo wa kufufua wafu kisha anakusanya pesa zao na kununua magar ya kifahari huku waumini wakinaki karika lindi la umaskini.Poor country poor people
Tembea uone. I can't waste my time with someone as arrogant as you, especially when you think you are a free thinker. You think free ideas is about boasting that you know. Kama hujui inabidi uulize sio uje hapa na sweeping statement halafu utegemee kuletewa ukweli kwenye sahani!!

Here is something that will help you. In the quest of knowledge the highest level of wisdom is realizing that, the human specie does not really know anything.
 
Suala la imani ni gumu sana. haichukui muda watu mara watachapana mabao hata kuchinjana kwa sababu ya imani.
 
Back
Top Bottom