Mchungaji anaswa akitaka kumchinja mwanaye

Mchungaji anaswa akitaka kumchinja mwanaye

Joined
Mar 15, 2015
Posts
8
Reaction score
1
Mchungaji wa Kanisa moja huko Zimbabwe amenaswa akitaka kumchinja mwanaye.Eti kaagizwa na Mungu kama Ibrahim alivyoambiwa amchinje Isaka.

Mchunjaji2.png Mchungaji.png
 
Ebu tuaminishe kidogo mkuu kwa haka ka-habari kako.
 
Jamani!!!...eti kama Ibrahim! Mungu amuadhibu muongo mkubwa.
 
Mchungaji wa Kanisa moja huko Zimbabwe amenaswa akitaka kumchinja mwanaye.Eti kaagizwa na Mungu kama Ibrahim alivyoambiwa amchinje Isaka.

View attachment 241645View attachment 241646

Imani ni ugonjwa mbaya sana na hatari kuliko mahonjwa yote yaliyokwisha wahi tokea

Only in africa ambapo watu waliokosa kazi hukusanyana na kuimba wakiamini kwamba kuna mtu/kitu/nguvu iko mahala inawasikia.

Only in africa ambapo mtu anamshika mwenzake kichwa na kusema et shetan toka kisha mtu yule anaanza kurusha miguu hovyo.

Zama za ujinga zimekwisha...

Karibuni katika ulimwengu huru....

""Ikiwa kuna mtu /watu wanadhani kwamba eti mahala fulani kun amtu/kitu kinachokontro ulimwengu na kwamba kuna maisha fulani baada ya kufa,Hao ni wajinga waliopitiliza-Free ideas
 
Amechanganyikiwa kiakili huyu Mchungaji feki.

Thibisha kwamba mchungaji yule ni feki!.Kwan ana tofauti gani na alichofanya Abraham?.Na kwa nini umwamini Abraham lakini sio huyu wa zimbabwe?.Kwani una ushahidi gani kwamba Abraham aliambiwa na huyo mungu(kama yupo)
 
Dini zingine..majanga na ubuuuz mtupu..
 
Imani ni ugonjwa mbaya sana na hatari kuliko mahonjwa yote yaliyokwisha wahi tokea

Only in africa ambapo watu waliokosa kazi hukusanyana na kuimba wakiamini kwamba kuna mtu/kitu/nguvu iko mahala inawasikia.

Only in africa ambapo mtu anamshika mwenzake kichwa na kusema et shetan toka kisha mtu yule anaanza kurusha miguu hovyo.

Zama za ujinga zimekwisha...

Karibuni katika ulimwengu huru....

""Ikiwa kuna mtu /watu wanadhani kwamba eti mahala fulani kun amtu/kitu kinachokontro ulimwengu na kwamba kuna maisha fulani baada ya kufa,Hao ni wajinga waliopitiliza-Free ideas
Soma maandiko kwenye Bible,kitabu cha Luka Mtakatifu, sura 16:19-31, uisome ile habari ya yule Tajiri aliyekufa ambaye alikwenda moja kwa moja kuzimu na yule masikini Lazaro naye alipokufa akaenda kwenye ufalme wa mbinguni.

Kutokana na mateso aliyokuwa anayapata kule kuzimu yule Tajiri, alitamani mfu mmoja afufuliwe ili aende kwa ndugu zake huku duniani, ili awashuhudie mateso wanayopata waovu kule kuzimu, ili wajiepushe kutenda dhambi ili watakapokufa waende mbinguni.

Ni vyema mtu ukajisafishia njia yako ya kwenda mbinguni ukiwa bado upo duniani, ili uepuke ile hali ya yule tajiri ambaye alijikuta akisema 'ningejua' ningeishi maisha yampendezayo Mungu ili kuiepuka jehanum ya moto.
 
Lakin afazali yeye kuliko maaskofu wenzake wanaowalawiti watoto mskanisani na wanaozini na wake za watu.
 
Imani ni ugonjwa mbaya sana na hatari kuliko mahonjwa yote yaliyokwisha wahi tokea

Only in africa ambapo watu waliokosa kazi hukusanyana na kuimba wakiamini kwamba kuna mtu/kitu/nguvu iko mahala inawasikia.

Only in africa ambapo mtu anamshika mwenzake kichwa na kusema et shetan toka kisha mtu yule anaanza kurusha miguu hovyo.

Zama za ujinga zimekwisha...

Karibuni katika ulimwengu huru....

""Ikiwa kuna mtu /watu wanadhani kwamba eti mahala fulani kun amtu/kitu kinachokontro ulimwengu na kwamba kuna maisha fulani baada ya kufa,Hao ni wajinga waliopitiliza-Free ideas
We jamaa ujuaji mwingi sana eti only in Africa!! Hivi unaishi wapi kwanza?! Haya mambo ya kushikana vichwa yapo sehemu nyingi tu nje ya Afrika kama hujui uliza uelimishwe. Hilo moja sasa suala la imani kuwa ugonjwa au la ni kitu kingine tunaweza kujadili lakini kwanza acha kutoa hizi blanket statements ambazo hazina ukweli wowote.
 
Lakini naona kuna kasoro katika picha hizi. Huyo mtoi kama kweli alichinjwa hata ka ni kidogo tu, jamani mnaona macho zake? Mbona poa tu ka kwamba hakuna kilicho mpata?
Upande wa mchungaji, nakubali ni tatizo kabisa, anaonekana mwenye tatizo kiakili hata alivyo kaa tu, huenda walimzaba mno vibao. Sijui nasema sijui
 
Back
Top Bottom