Mchumba wangu mchawi

hivi uchawi bado upo??? kwani sokoine bado anatokea watu!?? :A S 109:
 
Kwa TZ wafipa sio masikini kihivyo
wana ardhi kuubwa,na mkoa wao upo kwenye big four ya kilimo
hawana tofauti na Wanyakyusa....
 
Kwa TZ wafipa sio masikini kihivyo
wana ardhi kuubwa,na mkoa wao upo kwenye big four ya kilimo
hawana tofauti na Wanyakyusa....

unajua nini kaka? watu wasidanganye hapa hakuna kabila ambalo hakuna mambo ya kichawi Tanzania!
 
.... Mpeleke kwa mzee Salu..pale malapa Buguruni aombewe sara ndefu akitoka tu atakuwa fit...la uchawi wa kwao lisikutishe siku hizi hayo mambo ya uchawi na ushirikina dawa zake zipo tena sana tu....
 
Kila kabila lina wachawi ila ukweli ni kuwa kuna tofauti ua intensity...mfano mi nimezaliwa town lakini najua BK wachawi wapo...na kama ningeolewa kwetu; cha kwanza wazazi kufanya ni kupeleleza kama nakoolewa ni wachawi.

Ni kwa kuwa vijijini ambako wachawi ni wa kuhesabu...kila mtu anajua nyumba za wachawi. Lakini nadhani huko Rukwa wachawi ni wengi kiasi kuwa screening inakuwa ngumu.

Hatunyanyapai hizi za ufipani kuwa na wachawi wengi tunazipata toka kwa wafipa wenyewe. Ndio maana pakaitwa Sumbawanga.

unajua nini kaka? watu wasidanganye hapa hakuna kabila ambalo hakuna mambo ya kichawi Tanzania!
 
ukiona mtu anayooshea vidole wenzake kuhusu uchawi, ujue kabisa huyo ndio mchawi

umecheki vizuri na wazee wako kama sio washirikina?
 
Uchawi ni imani tu kama imani nyingine hivyo kama wazazi wake ni wachawi sio lazima na yeye awe mchawi, ni sawa tu na baba na mama ni waumini wazuri wa dini zao lakini watoto hawana muda wa kufuata misingi ya dini ya wazazi wao (hapa mbona ushangai). WACHAWI WAZAZI YEYE HAHUSIKI HIVYO ENDELEA NA TARATIBU ZOTE ZA KUMTAMBULISHA KWENU ILI AWE SEHEMU YA MAISHA YAKO maana kama kwao ni wachawi basi wewe kwenu ni wacha mungu hivyo ukipiga maombi mtashinda tu kama kweli wewe unajiona upo perfect kiimani
 
naelewa unachosema nduguyangu! kamaumefuatilia toka mwanzo kuna mchangiaji mmoja alitoa sifa za baadhi ya makabila! mimi najua uchawi upo! kila sehemu japokuwa nakubaliana na wewe unatofautiana kiwango! maeneo na maeneo! lakini kila sehemu upo! labda tupate kwanza maana nzuri ya neno UCHAWI!
 
Mchawi mpe mtoto alee! Hivyo una uhakika kuwa katika familia yako hakuna mtu kama huyo? Tatizo yeye mwenyewe kuwa mchawi lakini hilo la wazee wake lisikuumize kichwa.
 
mmh ....

njano + bluu+ nyekundu = zambarau
uchawi + ulokole + mapenzi = _________
jibu lintegemea na hali ya hewa pamoja na mazingira.
 
Mtangulize mwenyezi mungu kwenye kila jambo lako....
 
asanteni
 
.... Mpeleke kwa mzee Salu..pale malapa Buguruni aombewe sara ndefu akitoka tu atakuwa fit...la uchawi wa kwao lisikutishe siku hizi hayo mambo ya uchawi na ushirikina dawa zake zipo tena sana tu....

thanks
 
.... Mpeleke kwa mzee Salu..pale malapa Buguruni aombewe sara ndefu akitoka tu atakuwa fit...la uchawi wa kwao lisikutishe siku hizi hayo mambo ya uchawi na ushirikina dawa zake zipo tena sana tu....

Kumbe ndio maana kuna vibao vya matangazo ya waganga hadi mijini eeh?! mganga anatibu hadi kujiunga na freemasons!! Asante mkuu kwa kunielewesha.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…