Aliyefariki ni mama wa mkufunzi wake.Ila usimtie presha.Remember Inocent until proven guilt.kabila sijachangia stop generalize things SEMA NINA MPENDA SIO TUNAPENDANA USIUSEME MOYO WA MPENZI WAKO
pili angekua anazimia misiba yote ingekua ni kifafa mshukuru mungu kazimia huo
NAJUA UNAWAZA UMEGONGEWA LAKINI PIA MSHUKURU MUNGU MUME MWENZIO KAFA UMEBAKI MWENYEWE UNATAKA NINI TENA????
we bata kweli,peleka utoto huko!
Kusoma hujui,hata picha huoni?
Aliyefariki ni mama wa mkufunzi wake.Ila usimtie presha.Remember Inocent until proven guilt.
kabila sijachangia stop generalize things SEMA NINA MPENDA SIO TUNAPENDANA USIUSEME MOYO WA MPENZI WAKO
pili angekua anazimia misiba yote ingekua ni kifafa mshukuru mungu kazimia huo
NAJUA UNAWAZA UMEGONGEWA LAKINI PIA MSHUKURU MUNGU MUME MWENZIO KAFA UMEBAKI MWENYEWE UNATAKA NINI TENA????
isome vizuri post ya mdau afu ndo ushairi kasema MAMA WA MKUFUNZI WAKE NDO KAFA. EEEH NAWE.
And when u prove it na we utazimia
Bora nusu shari kuliko shari kamili.Azimie sasa wakati ni wachumba.Asije akazimia siku ya ndoa au baada ya kuingia kwenye ndoaAnd when u prove it na we utazimia