mbisom ramos
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 812
- 397
Haijawahi kukuta nadhaniAcha wapashe kiporo!
Inaniumiza nimejikuta nina chuki isiyoelezekaPole ndugu,mapenzi ni art
Mkuu sikuwa na lengo la kuikagua nimejikuta nimetokea hukoMama Salma Mama wa Bagamoyo mke wa Rais mstaafu alitoa usia ile jana kwamba msiangalie simu za mwenza wewe ukukalili hilo,
Nitakachomfanyia hatakuja kuaminiMbona kama uaminifu ni zero chief
Usirudie siku nyengine,na kuahidi ungeikagua sana ungekuta na raia ana piga 071.....Mkuu sikuwa na lengo la kuikagua nimejikuta nimetokea huko
Ya nini chief? mim kuna mwanamke hadi leo analia maana aliniacha kwa mbwembwe aliahidiwa mambo makubwa wakati huo sina kazi. kaishia kuzalishwa watoto 3 na kupigwa chin hata hajaolewa. Alivyosikia nimepata kazi akawa anajigonga nikamwambia tulishamalizanaNitakachomfanyia hatakuja kuamini
Endelea kuwa na wakati mgumu tu mana hakuna namna.Salaam wanabodi,,,
Mimi ni mvulana mwenye umri wa miaka 31 niko kwenye mahusiano na mdada flani huu ni mwaka na miezi 4 na nilipanga mwezi wa 7 nipeleke posa nimuoe,,!!! Tatizo huwa hatukai pamoja tuko mikoa tofauti hivyo mara kwa mara yeye huwa anakuja kila akipata nafasi'' wiki 2 zilizopita alikuja kwangu kwa bahati mbay niliomba simu yake kuna kitu nilikuwa naangalia "Lahaullah" sikuamini nilichokiona. ,,nimekuta kuna jamaa wanatumiana picha za utupu,,yaani yy anatuma uchi wake na yy anatumiwa mtulinga wa jamaa!! Nashukuru sikufanya chochote kibaya zaidi ya kumpa nauli arudi alikotoka!! Napata wakati mgumu sana wandug
Natamani kukujib lkn acha nikae kimyakwahiyo unataka tukujibu nini wew mvulana?