babacollins
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 901
- 212
Poa mkuu kizuri hupendezeshwa na kupendeza.Haya tena angalieni Mchumba wangu alivyopendeza jamani mumempenda
<fb:like ref=".UFJn_479LZ8.like" layout="button_count" show_faces="false" action="like" width="90" font="arial" href="http://mails.tejasri.in/2011/07/beautiful-mehndi-designs.html" send="false" class=" fb_edge_widget_with_comment fb_iframe_widget" style="position: relative; display: inline-block; "></fb:like>
Jamani hivi kwa urembo huo anaweza kweli kula kwa mikono?
Astaghafirrulah!
Kama wewe unapata muda wa kukaa stuli ndefu, yeye kwa nini asipate wa kukaa kuchorwa? Ni mgawanyo wa majukumuMh na kweli maana wengine muda sio tatizo!
Mie nachora mamito, kwa bei chee. Hebu ntafutemi nataka nielekeze wanakochora hivo this week end nikachore ua moja tuu la mguuni kama nimevaa kikuku baasi.
Ester gani, mbona wataka kunisingizia?we umesema ester kafanywa nini?
Sasa boss unanionea. Of all the people mie ndo nimemsifia mpenzio kuliko wote. Ila tu reservation yangu na kuzingatia dini rangi ya kucha imeharibu sunnah ya mtume. Au nakosea?Hiyo ndio Fasheni mkuu King'asti Msifie usimkandie mpenzi wangu ahhhh
usijali hayo ni mapambo ya muda akifikisha siku 7 tangu aolewe kila kitu kitafutika atakuwa kama kawaida tu bibie King'astiKama wewe unapata muda wa kukaa stuli ndefu, yeye kwa nini asipate wa kukaa kuchorwa? Ni mgawanyo wa majukumu
Mie nachora mamito, kwa bei chee. Hebu ntafute
Ester gani, mbona wataka kunisingizia?
Sasa boss unanionea. Of all the people mie ndo nimemsifia mpenzio kuliko wote. Ila tu reservation yangu na kuzingatia dini rangi ya kucha imeharibu sunnah ya mtume. Au nakosea?