Pole sana. Dah yan nmejikuta natetemeka kuandika. Hiyo hali ipo na kuna binti flan wakati nasoma a-level, yeye ilikuwa live na alikuwa akimtukana mamayake na kugombana nae kama mke mwenzie,na kadri siku zilivoenda,akahamia kwenye apartment yake na dady wake ndo alikuwa akilipa. Nasikia kaolewa na ana watoto now.
Back 2topic: ingawa binti anaonekana mapepe,Tumia hekima na busara,Kaa nae umwonye tena,then kama unandugu zake unaelewana nao em ongea nao wakusaidie,then kama unania nae muhame mkoa kabisa,nadhan angalau itasaidia,then after najua utakuwa ushapata njia on how to-mdhibiti yeye.