Manchris Jbisd
SPAMMER
- Apr 9, 2013
- 691
- 495
Naww huwa unafanya hivyo?!
miss chagga Mungu anakuona... kwani upendo upo kwenye simu ama moyoni? angemzimia moyo ndo ushauri wako ungetumika!hakupendi
ukimpenda mtu huwezi kaa kimya muda wote huo .. hapendwiiiimiss chagga Mungu anakuona... kwani upendo upo kwenye simu ama moyoni? angemzimia moyo ndo ushauri wako ungetumika!
Sasa akimzimia simu ndo itasaidia ninianamaanisha she is fed up she cannot take it anymore mkuu kwa sababu labda ni tabia yako ya mara kwa mara na ameshakueleza inamkera na hutaki kubadilika unless otherwise scenario iwe tofuti
Na hii ndio sababu mkuu, me nadhani tu aachane naeUshauri: Amesema hahitaji mahusiano wala kuolewa na mimi, ila bado nampenda
Mbona jibu unalo alafu unalazimisha ushuzi.....[emoji45] [emoji45] [emoji45]
Mke wako mkuu????!!!!!!!We si akili hazikutoshi bana!!? Sasa kwanini asipokee dume ilihali ufahamu wako umekuaminisha kupata contact za mke wangu kutoka kwangu ili um-seduce!
Insanity[emoji3] [emoji3] [emoji12] [emoji12]
Sent using Jamii Forums mobile app
I like the sound of it.......Dude, move on.
Hata akirudi na mkarudiana, still move your heart forward. Coz, if everythin will ever turn out okay, i assure you, that dilemma isnt the last.
And oh, never ever give love a chance, again.
Love is somethin sweet that guarantees to hurt you. And when I say hurt, i mean like really bad.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii nayo Pasua kichwa kwl kwl,always wanaume tuliotulia tunapata galz headache and galz waliotulia wanatupata boys headache ni utaft mdg tu,ko jamaa ang endelea kustrugle hakika alieandaliwa kwa ajili ako yupo usichoke kuomba iz beta ukatulia tu coz hakunaga tuzo ya ngono zaid ya maradhi mkuu...
Naunga mkono hojaNa hii ndio sababu mkuu, me nadhani tu aachane nae
Ha ha ha wamekufukulia Kabuli.umeamua utimue we ushimen sio vizur unaona jamaa kakimbia.ha ha ha Jf raha sanaLakini nimejifunza,ushauri mwingj hapa huwaga ni wa uongouongo na kuutendea kazi ni kujipoteza, kwakherini na-log off!
Sent using Jamii Forums mobile app