mtu mwembamba
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 370
- 473
Jamani wakija kuomba ushauri sio lazima ufukue makaburiUshauri: Amesema hahitaji mahusiano wala kuolewa na mimi, ila bado nampenda
Mbona jibu unalo alafu unalazimisha ushuzi.....[emoji45] [emoji45] [emoji45]
Ukilog off utakua umepata suluhisho juu ya huyo aliekuzimia simuLakini nimejifunza,ushauri mwingj hapa huwaga ni wa uongouongo na kuutendea kazi ni kujipoteza, kwakherini na-log off!
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini nimejifunza,ushauri mwingj hapa huwaga ni wa uongouongo na kuutendea kazi ni kujipoteza, kwakherini na-log off!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata ukilog off, tunafaham bidada alisha kuambia hakupendiLakini nimejifunza,ushauri mwingj hapa huwaga ni wa uongouongo na kuutendea kazi ni kujipoteza, kwakherini na-log off!
Sent using Jamii Forums mobile app
We kama wako ni kahaba namna hiyo unalo! Wengine twawa na matumaini hata ktk migogoro kama hii sababu hatujaji-bind kwa Malaya!!!!Kama ushauri ni wa uongo uongo umekuja kuuomba huku wa nini, bure kabisa..
Ndio maana umezimiwa simu, na papuchi anakula mwingine!!
We kama wako ni kahaba namna hiyo unalo! Wengine twawa na matumaini hata ktk migogoro kama hii sababu hatujaji-bind kwa Malaya!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii inaonyesha jinsi mleta uzi anavyo jitekenya tu
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Kama ushauri ni wa uongo uongo umekuja kuuomba huku wa nini, bure kabisa..
Ndio maana umezimiwa simu, na papuchi anakula mwingine!!
[emoji2] [emoji1] [emoji1]Hii inaonyesha jinsi mleta uzi anavyo jitekenya tu
Ushauri: Amesema hahitaji mahusiano wala kuolewa na mimi, ila bado nampenda
Namba hii mbona anapokea dume! Umeliwa ndugu
Naomba niunge mkono hojaAah mwanaume kuzimiwa tu simu unakuja unalialiaaaa, ukiachwa si ndio utajinyonga kabisa, acha ufara tafta dem mwingine na inamana ulikua nae m1 tu ? Nonsense
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwandikie barua!Mchumba wangu amenizimia simu mara tu baada ya kutomjibu msg zake kwa wakati, Leo ni siku ya 8 sasa.Wakuu hii inaashiria nini? Na nifanye nini? (Tupo mikoa tofauti kikazi).
Sent using Jamii Forums mobile app
Analipiza kisasi, anataka na wewe ujisikie kama yeye wakati wewe umepotezea kujibu SMS zakeMchumba wangu amenizimia simu mara tu baada ya kutomjibu msg zake kwa wakati, Leo ni siku ya 8 sasa.Wakuu hii inaashiria nini? Na nifanye nini? (Tupo mikoa tofauti kikazi).
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Tusababisha mleta uzi ajinyonge