D Metakelfin
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 3,728
- 4,178
Wewe ni noma.alikuwa mwalimu wa sekondari me mwanafunzi wa shule ya msingi mwaka 2011.
aiseee m demu wa kwanz nlimpata nkiwa form 1 pale azania bt yy alikua anasomA JANGWAN SO AKAWA ANAKUJA TUSAIDIANE BT THE END OF THE DAY mwana nkafanya yangu ila ad nw ndo girl wanguuu uyo uyo mm ndo ilikua ivo mazeeMi kuna demu alkuwa anakuja pale home rafiki ake sista daah ni mkali hatari siku moja nkamuazima Simu yake nkampigia daah akasema hana mchumba ghafla akaenda sweden kakaa kama mwaka hivi akarudi mi hapo npo form two yey ndo alihamia sweden alivyorudi nlikuwa form three basi bwana kuna jirani yetu akaniambia kuna demu kakutana nae church kachukua namba akasema nimsindikize wakaonane nae basi île kwenda nkakuta yule demu.
ikabidi nitulie maana sikuwahi kumtongoza akapiga stori na jamaa mi nipo tu kwa mbali namcheki .
kurudi nyumbani nkaiba Simu ya sista nkachukua namba nikarudisha palepale usiku nkampigia yule demu nkamwambia kwa hiyo ameamua kuniumiza akaniuliza why?.
nkamwambia kumuona na mshikaji nimeumia mno u cant believe!! waliacha siku hiyohiyo demu akasema mi ndo alinpenda toka hajaenda hata sweden ila alijua ipo siku kilio chake kitasikilizwa basi kesho yake nkamuita nyuma ya hoteli flan tukaongea kesho yake nkachapa na kuchapa na kuchapa zaidi yaan ni mmoja kati ya wanawake nliowapenda zaidi kabla ya kuumizana na kuachana nampenda Sana hata sasa ingawa sipo tayari kurudiana nae
vipi kuhusu wewe ulimpata wapi na ilikuwaje ?
ahaaaaa wabongo mpo makin kusoma aiseesasa kwanuni mliamua kupigana mpaka mkaumizana.
pole sana kwa majeraha halafu ndugu ukumbuke mapenzi sio vita hapo shukuru kakuumiza ungekufa je ingekuaje what if wewe ungemuumiza yeye si ungeozea jela.
mkuu baada ya kuwa wapenzi alisafiri kwenda sweden kwa babaake.hakunitafuta tena nilikereka mno ila kumbe kabadilisha namba na bado anawasiliana na sister so nkaipata namba yake nikamtext akanijibu vizuri nikamwambia mi flan.Alikuumizaje mkuu? Bado story haijaisha mkuu. Malizia kipande kilichobaki
.....midnight..............,
Mida ya wanga
Hahah amalizie hicho kipande kilichobaki..story ielewekeAlikuumizaje mkuu? Bado story haijaisha mkuu. Malizia kipande kilichobaki
.....midnight..............,
Mida ya wanga
Kitu cha AzaJangwaaiseee m demu wa kwanz nlimpata nkiwa form 1 pale azania bt yy alikua anasomA JANGWAN SO AKAWA ANAKUJA TUSAIDIANE BT THE END OF THE DAY mwana nkafanya yangu ila ad nw ndo girl wanguuu uyo uyo mm ndo ilikua ivo mazee
😀😀😀
Asante [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]sasa kwanini mliamua kupigana mpaka mkaumizana.
pole sana kwa majeraha halafu ndugu ukumbuke mapenzi sio vita hapo shukuru kakuumiza ungekufa je ingekuaje what if wewe ungemuumiza yeye si ungeozea jela.
sinanipe namba zake nimpooze machungu
Kwani shule hazijafunguliwa!!! Maan post ya kitoto kabisa imekaa kiuanafunzi zaidiMi kuna demu alkuwa anakuja pale home rafiki ake sista daah ni mkali hatari siku moja nkamuazima Simu yake nkampigia daah akasema hana mchumba ghafla akaenda sweden kakaa kama mwaka hivi akarudi mi hapo npo form two yey ndo alihamia sweden alivyorudi nlikuwa form three basi bwana kuna jirani yetu akaniambia kuna demu kakutana nae church kachukua namba akasema nimsindikize wakaonane nae basi île kwenda nkakuta yule demu.
ikabidi nitulie maana sikuwahi kumtongoza akapiga stori na jamaa mi nipo tu kwa mbali namcheki .
kurudi nyumbani nkaiba Simu ya sista nkachukua namba nikarudisha palepale usiku nkampigia yule demu nkamwambia kwa hiyo ameamua kuniumiza akaniuliza why?.
nkamwambia kumuona na mshikaji nimeumia mno u cant believe!! waliacha siku hiyohiyo demu akasema mi ndo alinpenda toka hajaenda hata sweden ila alijua ipo siku kilio chake kitasikilizwa basi kesho yake nkamuita nyuma ya hoteli flan tukaongea kesho yake nkachapa na kuchapa na kuchapa zaidi yaan ni mmoja kati ya wanawake nliowapenda zaidi kabla ya kuumizana na kuachana nampenda Sana hata sasa ingawa sipo tayari kurudiana nae
vipi kuhusu wewe ulimpata wapi na ilikuwaje ?
mchumba wa kwanza ulimpata ukiwa mzee sanaKwani shule hazijafunguliwa!!! Maan post ya kitoto kabisa imekaa kiuanafunzi zaidi