mbongokazi
Senior Member
- Dec 31, 2015
- 110
- 23
Si umfate huki huko Pm kuipata nambaPlease pm me ur number
We MTU mzima! Mahabà ya dhati!Ha-ha....kukulea vema?! Cjaelewa hapo!!
Namtafuta Mchumba wa like Mwenye umri kati ya 25 na 35. Awe na Elimu ya chuo kikuu kuanzia shahada 1- 3.Awe ameajiriwa au amejiari. Awe anaweza kunilea vema na kunijali
Mimi na shahada ya PHD na miaka 36.
Tafadhali no Pm kwa maelezo zaidi.
Mkuu PM zikizidi zifowadi kwangu tafadhali.....hehe
Kama yupo ajitokeze!Kama ana degree 4 humtaki?
wajitokeze kwa màjina na sifa!MBONA WENGI ! ILA WEWE HUNA IYO DIGREE ?
Si umfate huki huko Pm kuipata namba
Hi Mambo,am interested,naomba unipm, plzMkuu PM zikizidi zifowadi kwangu tafadhali.....hehe
Namtafuta Mchumba wa like Mwenye umri kati ya 25 na 35. Awe na Elimu ya chuo kikuu kuanzia shahada 1- 3.Awe ameajiriwa au amejiari. Awe anaweza kunilea vema na kunijali
Mimi na shahada ya PHD na miaka 36.
Tafadhali no Pm kwa maelezo zaidi.
Sijaelewa sentence ya mwishoNamtafuta Mchumba wa like Mwenye umri kati ya 25 na 35. Awe na Elimu ya chuo kikuu kuanzia shahada 1- 3.Awe ameajiriwa au amejiari. Awe anaweza kunilea vema na kunijali
Mimi na shahada ya PHD na miaka 36.
Tafadhali no Pm kwa maelezo zaidi.
Mi nishasema unipe nambà ya simu tuwasiliàne.Hi,naomba uniPM your number,plz