huyo padre hajui kutongoza? Huyo mwanamke utakayemoata atakuwa wako au wake? Mwambie atafute mwenyewe, enzi za kutafutiwa zimeshaisha!!
hataki mke huyo, kwanza mke hatafutwi hivyo na huwez kuweka eti sifa kama zilivyokaa hapo....padre mkatoliki anataka kuoa? ila sio kosa lake, kusoma kote huko hajawaona wenye sifa anazotaka? kama hakuona kipindi chote hcho, bas hatompata kamwe.
pole yake,
Assignment hii alinipa siku nyingi sikupata muda wa kutosha nikaona wakati huu wa Easter holiday nimfanyie on my side
😛anda:😛anda:Rafiki yangu anatafuta seroius mchumba atakaye kuwa mke ndani ya kipindi kisichozidi mwaka mmoja , Kwanini rafiki yangu? Yeye amesoma kufikia ngazi ya kuwa Padre na kuamua kufanya kazi nyingine hivyo kujitoa katika useja.Amechelewa kuoa hivyo ana nia ya dhati kabisa kumpata mwenzi wa maisha.Kwa hali hiyo kaniomba kufanya head hunting za mwenye sifa zifuatazo;
• Mcha Mungu awe Mkristo Mkatoliki
• Msomi mwenye shahada japo ya kwanza
• Mwenye utashi wa kujiendeleza kitaaluma
• Umri usiozidi miaka 35
• Mwenye upeo wa kimataifa na safari za nje ya nchi mara kwa mara
Kwa mwenye vigezo hivyo na ambaye yuko serious ani PM nimpe maelekezo bayana.
Namfahamu Fr mmoja aitwae Kiloloma! Usije ukawa ni weye!
Nami nina rafiki yangu wa kike (sifa hizo anazo) ila naye anatafuta mchumba mwenye sifa zifuatazo:
1: awe ana Phd lakini awe muajiri sio muajiriwa
2: awe na nyumba yenye Jiko la ukubwa wa 10x10m
3: ajue kupika, kudance na asiwe mlevi
4: aweze kumpa at least 1 holiday abroad kwa Mwaka
5: awe virgin
Kama huyo rafiki yako anaqualify aniPM ili nimuunganishe na rafiki yangu.
Kiroroma;1893627• Mwenye [B said:upeo wa kimataifa na safari za nje ya nchi mara kwa mara [/B]
Kiroroma,
Usimsaidie mtu huyu kutenda dhambi!..mwache abebe msalaba wake!
Kama amekuwa Padre, na ghafla anataka kujitoa, basi mtu huyu hana busara ya kutosha!
Si wa kutegemewa, na kiume ni kwamba hana maamuzi!
Lakini pia hata akisonga mbele na kuoa, basi aTASABABISHA MAJUTO KWAHUYO mwanamke, coz he will keep changing now and then, na kwake kutakuwa nyumba ya majuto kila uchao!
Kuna watu wenye tabia mbaya sana hawa, ambao wanalidanganya kanisa, wanasomeshwa kufikia hatua hizo(PHD) halafu wanaamua kukimbia kufanya mambo mengineyo...Ihate them badly!...Naomba unifikishie salamu kwa rafiki yako kuwa sijamfurahia kabisaa!
Sasa kama mtu hawezi hata kujitafutia mchumba in the first place, unategemea ataamua maamuzi yoyote magumu huyu?
Halafu inakuwaje atafute mchumba kwa vigezo vya namna hiyo utadhani wanawake wako Kariakoo wamepangwa?
Ameshindwa nini kuONYDESHA nia yake kimya, na halafu vigezo hivyo wakavijadili kwenye pm?..
Anaonekana ni mtu complicated sana huyo...Haya wadada, Paroko huyo hapo!
Nimeachwa hoi na kigezo cha SAFARI ZA NJE ZA MARA KWA MARA!...(my hairs):A S 465: