ila siyo fresh kuchunguzana simu wakati hata hamjaonana bado, angekuwa mumeo ningeona poa tu, ila kwa sasa wewe na wale wote hadhi sawa tu
mwenzio kajiwekea viporo vyake hapo just in case we ukizingua, we unaanza kukaba hadi penati looooh
na wewe umetekwa huyo bwana ako boko haram unakaa kwake bila kuolewa wewe mwenyewe ni mchepuko
olewa kwanza ndio tukushauri

tofauti kati ya cheater na mwaminifu in kwamba mmoja kakamatwa na mwingine anabahatiNisaidie macho ya ndani...nione kama uonavyo wewe.......ndg yangu...Mungu anakuonyesha mbivu na mbichi mapemaaaa....wakati ndio huu....
Keshalipa mahari bado ndoa tu
Khaa!! Yaani vimeseji viwili vitatu na akakuomba msamaha ndiyo hats Simu usipokee?? Pokea Simu bana kisha umwambie Kuwa bado unamfikiria. Akinywa sumu kesi yako
Kwikwikwi....VIPORO.
yani umepigiwa magoti na kilio juu ila bado unajifanya unakaza..??..watu wengi wanacheat siku hizi..kumpata mtu ambaye anajutia kosa ni jambo la kushukuru pia...hasa we mpige chini uje kupata mwingine akuunge machozi band

hata kama.....
ila mkiendelea na tabia hiyo ya kukaguliana simu ujue hiyo ndoa haitadumu, simu zina mambo asikwambie mtu
yeah naelewa..kama kweli bado unampenda msamehe..kama akirudia kosa basi mpige chini..mana hakuna namnaNafahamu hilo na ndo mana navumilia ila nataka ajue kwamba inanipain sana asichukulie easy next time