mmmmmmhhahahaha nimependa gia zako
hahahaha nimependa gia zako
mmmmmmh
Kwanza kabisa natanguliza shukrani kwa jf nzima kwa namna inavyosaidia kubadilisha maisha yetu, jf ilinisaidia kupata kazi enzi hizo nimemaliza chuo kikuu.
Baada ya shukrani naomba mdada mzuri anayeishi Dar ambaye yupo tayari kufanya maisha na mimi awasiliane na mimi kupitia 0654 531 647. Sina utajiri mkumbwa ila na ka gari walau daladala tutaziepuka na ka nyumba kigamboni.
Asanteni sana
amesha kunasa hivyoooo....
Viol angalia utakufa kwa shinikizo la damu manake naone popote anapopita miss neddy nawe upo!
meona eeeeh speed yake kali sana huyu mtu aiseee
Mtaani,kazini,kanisani o msikitini hujampata??humu usiyemuona ndo unamtongoza....maajabu haya
haki ya mzungu shahidi mwarabu we mtoto nakupendameona eeeeh speed yake kali sana huyu mtu aiseee
nimejitoa maisha yangu na uhai kwa ajili ya miss neddy nshana jr nikifa kunywei divaiViol angalia utakufa kwa shinikizo la damu manake naone popote anapopita miss neddy nawe upo!
nimejitoa maisha yangu na uhai kwa ajili ya miss neddy nshana jr nikifa kunywei divai