Mchumba mlokole

Mchumba mlokole

Joined
May 11, 2014
Posts
15
Reaction score
0
Natafuta mchumba
Vigezo
1:awe na umri 20--25
2:awe mkristo
3:mweupe
4;yupo mkoa wa dar
5:ana kazi anajitegemea
6:asiwe na mtoto au kuzaa.
7:asiwe mwemba sana wala mnene san
Me nina mfanyabiashara pia mwajiriwa umri 26yrs sina mtoto.mweupe.mrefu mwembamba kiasi hizo ndo wasifu wangu
Ovyo
Sitaki binti aliyeshindwa life yake
Wala wa kunchuna sitoi chochote cha kuhonga zaidi ya upendo
 
Hapo ulipoandika ovyo unamaanisha onyo au....?
 

Attachments

  • 1399998053936.jpg
    1399998053936.jpg
    46.4 KB · Views: 191
  • 1399998084247.jpg
    1399998084247.jpg
    40.4 KB · Views: 181
Nenda kwa mzee wa Upako-Riverside Ubungo au kwa Kakobe Mwenge...
waeleze shida yako watakutafutia faster...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom