Mchumba(mke) wa ukweli (19-25yrs)

Mchumba(mke) wa ukweli (19-25yrs)

PEACEKEEPER

New Member
Joined
Dec 30, 2012
Posts
3
Reaction score
0
Napenda nimpate mchumba wa kike umri 19-25, mkristo, mfanyakazi(ameajiriwa), mrefu wastani, rangi yoyote, si mnene si mwembamba. aliye tayari ani-PM


Mimi
nina miaka 27 mwanaume,ni mtumishi wa serikali, elimu degree, mkristo, si mrefu si mfupi, mweusi, si mwembamba si mnene.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom