Mchumba (mke) serious anahitajika

Mchumba (mke) serious anahitajika

Mimi sikukatishi tamaa mkuu.Seriously hakuna mapenzi ya kwenye mtandao.Utapoteza muda tuu.Wengi walikutana barabarani,makanisani,misikitini, bar, kwenye vyombo vya usafiri,mtaani n.k.
 
Sio kweli, watu wanamit nyumba za ibada hawaoani....
Watu wanamit facebook,jf,virabuni,club na wanaoana.....
Hata humu jf watu washaoana.

Weka CV yako hapo kaka niikague.
 
Sitaki kuamini kama bado upo single jamani? Au waliopo hawaeleweki so bado unafanya selection???
 
Natafuta mchumba serious wakuoa
Call 0688610933 only 4 serious ladies

Mkuu hata anaetafuta bidhaa kama shamba, kiwanja, gari hua ana specifications.. Hebu jieleze umri, physical appearance, uzoefu wako ktk mapenzi kidogo, location yako, mambo ya kipato unagusia kidogo etc, etc...

Trust me, atakae kutafuta bila kujua cv yako kwa sasa atakua ni mdada aliekata tamaa ya kuolewa baada ya kuhangaika sana.!
 
Mimi sikukatishi tamaa mkuu.Seriously hakuna mapenzi ya kwenye mtandao.Utapoteza muda tuu.Wengi walikutana barabarani,makanisani,misikitini, bar, kwenye vyombo vya usafiri,mtaani n.k.

umesema kweli wewe
 
Usikatishwe tamaa watu tumeolewa na wa kwenye mtandao na ndoa zetu zimedumu hadi sasa ni mwaka wa nane na ni kama tumeonana jana tunapendana sana!!!! weka maelezo kamili tukague ntakupa mdogo wangu Bikra....haaa haaa!
 
Mimi sikukatishi tamaa mkuu.Seriously hakuna mapenzi ya kwenye mtandao.Utapoteza muda tuu.Wengi walikutana barabarani,makanisani,misikitini, bar, kwenye vyombo vya usafiri,mtaani n.k.

mimi navuta kasi ili nije nilete bandiko hapa sasa unanishauri niahirishe?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom