FAnya yanayokuhusu. Ya ngoswe hayo.Jamani, mchumba aliyetolewa mahali kbs na tarehe ya ndoa kupangwa lkn hakati mawasiliano na mtu wake flani na wameshachepuka. Inasemekana mchepuko wake akionyesha hali ya kutomchangamkia demu humlalamikia kuwa kwnn anakaa kimya wakati hajaolewa bado?
Ninavyofahamu, mchumba anakuwa tyr ktk himaya ya MTU......ni km vile aneshamilikiwa na si sawa kutoka nje. Hii imekaaje wadau?!!!!!!
Ndio nasema mwanamke sahihi kuolewa ni bikira tu, full stop. Hawa waliofungua matawi ni wanawake wa jumuiya, kila mtu anajipigia kwa nafasi yakeJamani, mchumba aliyetolewa mahali kbs na tarehe ya ndoa kupangwa lkn hakati mawasiliano na mtu wake flani na wameshachepuka. Inasemekana mchepuko wake akionyesha hali ya kutomchangamkia demu humlalamikia kuwa kwnn anakaa kimya wakati hajaolewa bado?
Ninavyofahamu, mchumba anakuwa tyr ktk himaya ya MTU......ni km vile aneshamilikiwa na si sawa kutoka nje. Hii imekaaje wadau?!!!!!!
well said mkuuNdoa kwa wasichaana wengi ni kama ajira
hawaachi vibarua vya hapa na pale
aisee!!!! wanaweza kuua hawaKuna demu fulani alikuwa anaolewa kama kesho hivi alafu leo jamaa yake wa zamani kaenda kumt***mba inasikitisha sana
Jamani, mchumba aliyetolewa mahali kbs na tarehe ya ndoa kupangwa lkn hakati mawasiliano na mtu wake flani na wameshachepuka. Inasemekana mchepuko wake akionyesha hali ya kutomchangamkia demu humlalamikia kuwa kwnn anakaa kimya wakati hajaolewa bado?
Ninavyofahamu, mchumba anakuwa tyr ktk himaya ya MTU......ni km vile aneshamilikiwa na si sawa kutoka nje. Hii imekaaje wadau?!!!!!!
Kuna demu fulani alikuwa anaolewa kama kesho hivi alafu leo jamaa yake wa zamani kaenda kumt***mba inasikitisha sana