Mchumba kanipiga mbata wapendwa

...ila mkuu inaelekea wewe ni mpole sana....siku nyingine akikupiga na wewe mpige,asikupande kichwani !
 
Wewe mwanaume lin nlikupga mbata?? Au tulikua wachumba wawili??😢😢😢😢👊👊👊😠😠
 
Mara nyingi kofi la mrembo haliumi na watoto wengi wa kike hawana makofi mazito kama sie wanaume.Kwa sababu ilikuwa ni utani chukulia ni utani tu ndo mahabati yenyewe hayo usimwache mtoto wa watu hiyo sio sababu ya msingi.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…