markbusega
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 826
- 850
Huyu mchumba mwezi ujao naenda kuanza harakati za ndoaNi mchumba au dem tu?
teh... umesema vema...et jamaa anamfata fata huyo msichana alafu msichana anakwambia wewe mwanaume kaa nae mbali..Mwambie mchumba wako yeye ndo akae mbali na huyo rafiki yako..
Ukute huyo msichana ndo anayeendekeza ukaribu na huyo mshkaji zen akiwa na jamaa yake anajifanya kuponda..teh... umesema vema...et jamaa anamfata fata huyo msichana alafu msichana anakwambia wewe mwanaume kaa nae mbali..
dah
asante...Ukute huyo msichana ndo anayeendekeza ukaribu na huyo mshkaji zen akiwa na jamaa yake anajifanya kuponda..
Heri ya siku ya wapendanao mkuu
Ndo nataka nikaakikishe mkuu..Kama ipo au imetenguliwa kweli...mimba si jecha kaitengua mkuuu...
mtoto wa Raimundo ni wakike.. hivi anaumri gani?...teh nipo single...
ila nitatoka na mchepuko..late night
ok mkuuu shughuli inaanza sa ngapi...
teh kaamua kusema....jinsi ya mtoto...Ndo nataka nikaakikishe mkuu..Kama ipo au imetenguliwa kweli...
Nilimuuliza jinsia ya mtt wake akasema amesahau..Nadhani leo atatupa jibu..Tusije kujichanganya kwenye zawadi
Vipi Cute b umempiga chini?