Davey 2017
Senior Member
- Mar 24, 2017
- 109
- 134
Mfukua makaburi katika ubora wako [emoji119][emoji851]Mkuu tokea 2017 unatafuta mke humu jamii forum hujapata tu au wakija unasuuza wanasepa?
Nahitaji mke
Habari za leo wana JF, Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 37 natafuta mwanamke ambaye atakuwa mke anatakiwa awe ana umri kati ya miaka asizidi 34, akiwa hana ama ana mtoto ni sawa. Mimi ni mwajiriwa na mfanyabiashara, naishi Dar es Salaam na ni mkristo. Mengine tutajuzana, kwa mawasiliano...www.jamiiforums.com
Wewe umewahi kukutana na majini wangapi?Endeleeni kuchana tu mikeka ya kamali mnazocheza humu ili mkikutana hata na majini mlete mirejesho kuwa "si kila kingaacho ni dhahabu"
Jiwe gizani [emoji23]Wewe umewahi kukutana na majini wangapi?
Mkuu tokea 2017 unatafuta mke humu jamii forum hujapata tu au wakija unasuuza wanasepa?
Nahitaji mke
Habari za leo wana JF, Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 37 natafuta mwanamke ambaye atakuwa mke anatakiwa awe ana umri kati ya miaka asizidi 34, akiwa hana ama ana mtoto ni sawa. Mimi ni mwajiriwa na mfanyabiashara, naishi Dar es Salaam na ni mkristo. Mengine tutajuzana, kwa mawasiliano...www.jamiiforums.com
Aha,aha,ahaMkuu tokea 2017 unatafuta mke humu jamii forum hujapata tu au wakija unasuuza wanasepa?
Nahitaji mke
Habari za leo wana JF, Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 37 natafuta mwanamke ambaye atakuwa mke anatakiwa awe ana umri kati ya miaka asizidi 34, akiwa hana ama ana mtoto ni sawa. Mimi ni mwajiriwa na mfanyabiashara, naishi Dar es Salaam na ni mkristo. Mengine tutajuzana, kwa mawasiliano...www.jamiiforums.com
Aha,aha,aha
πAsante sana. Angalau am getting a positive response.Kila la heri
πππππAsante sana. Angalau am getting a positive response.
Pole sanaJiwe gizani [emoji23]