Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,383
- 7,976
KabisaMiaka ya nyuma wanaume wengi walisalitiwa na wachumba baada ya kuwasomesha shule kwa gharama kubwa wakiwa na tegemeo la kuwa wenza wao wa maisha hapa ikaibuka kauli "mchumba hasomeshwi" somo hili watu wengi walilielewa likakoma
Sasa kutokana Tabia ya utapeli baadhi wa hawa dada zetu vijana wengi wameshalizwa wengi wameshaliwa nauli wengi wameshaumizwa baada ya kutumia pesa nyingi kumuhudumia mchumba mwisho wa siku mwanamke anachaguo lake la mwanamme anayetaka kuishi nae kwahiyo wewe unakuwa tu kama daraja tu lakumvusha
kumhudumia mchumba ni hasara zaidi kwako unavyomdumia mchumba tayari kama ni bidhaa wewe unakuwa unaipandisha thamani bei inapanda tayari wewe unakuwa sio level yake wewe ni kama daraja lamkufanya avuke aende kwingine
Mapenzi yanayoanza bila pesa ndio mapenzi yanayodumu na njia sahihi kumjua mwanamke wa maisha huyo atakufaa ata pale utapokwama
kijana mchumba hahudumiwi kisa cha yule wa Mwanza aliyejiua iwe funzo
Maweee!! weye ndo hujui sasa!...sikia vizuri mchumba anahudumiwa sana tu!! kwanza unamkula vilevile!! tunacho jali ana nyota ya mafanikio!!! kwanza wkt namuhudumia si ninamkulaaa!!kijana mchumba hahudumiwi kisa cha yule wa Mwanza aliyejiua iwe funzo
Nimejifunza kitu hapaMiaka ya nyuma wanaume wengi walisalitiwa na wachumba baada ya kuwasomesha shule kwa gharama kubwa wakiwa na tegemeo la kuwa wenza wao wa maisha hapa ikaibuka kauli "mchumba hasomeshwi" somo hili watu wengi walilielewa likakoma
Sasa kutokana Tabia ya utapeli baadhi wa hawa dada zetu vijana wengi wameshalizwa wengi wameshaliwa nauli wengi wameshaumizwa baada ya kutumia pesa nyingi kumuhudumia mchumba mwisho wa siku mwanamke anachaguo lake la mwanamme anayetaka kuishi nae kwahiyo wewe unakuwa tu kama daraja tu lakumvusha
kumhudumia mchumba ni hasara zaidi kwako unavyomdumia mchumba tayari kama ni bidhaa wewe unakuwa unaipandisha thamani bei inapanda tayari wewe unakuwa sio level yake wewe ni kama daraja lamkufanya avuke aende kwingine
Mapenzi yanayoanza bila pesa ndio mapenzi yanayodumu na njia sahihi kumjua mwanamke wa maisha huyo atakufaa ata pale utapokwama
kijana mchumba hahudumiwi kisa cha yule wa Mwanza aliyejiua iwe funzo
Mkuu ulijuaje kama alikua hajaliwa kwa miezi 11Kwakifup hakuna mwanamke atakupa uchi bila pesa.Hata kma atakataa mwanzon ila jua tu ni kama amewekeza na siki akitaka fahamu utatoa pamoja na interest rate flani.
Hivyo mwanaume jua unachosimamia.
Mfano hai.
Huyu manzi niko nae recently (mke wa mtu ila ana migogoro yao ya ndoa, mme wake hasimamishi) nilimla mara ya kwanza hii ni baada ya yeye kukaa bila kuliwa kwa miezi 11 sababu hio hapo jui.
Kwakua alikua na ukame nikamkata wote basi alifurahi sana na HAKUDAI PESA LICHA YA MIMI KUMPA AKAKATAA katakata.
Alikua anatoka Makambako anakuja Iringa town kufuata mzigo.
Mara ya pili nikamla mzigo tena kama masaa 6 hivi kesho akarud kwao nikampa hela tena akakataa basi nikaomba nilmkatie tu ticket ya kurud kwake.
Nikarud zangu dar kuendelea na maisha .Oohoh sasa juzi nikapigiwa simu shule zinafungua mtoto wake anahitaji ada 600,000/= na yeye hana maana alitegemea kupata kwenye biashara zake ila hali imekua sio hivyo mtoto hatapokelewa shuleni.
Nikampa tu ushaur aende akazungumze na mkuu wa shule ataeleweka.Kwel akakubaliwa ila naona mazungumzo ya INVOICE YA 600K hayakauki.Nikaanza kujitoa taratibu.
Juz tumechat kidogo akanambia simu imedonoka kubadil screen elf 70πππ .
NADHANI NDIO TUNAELEKEA MWISHO MWISHO.
Kwakifupi hiz mambo za hela na mimi ni tofauti kabisaa
Hilo sikulijali sana kwakua ni maelezo yake na naelewaga ni waongo waongo.Mkuu ulijuaje kama alikua hajaliwa kwa miezi 11
Wewe umeshindwa kutofautisha love na sex wewe upo kundi la watu wanaotafuta sex jambo ambalo ni rahisi kupata kwa kila mwanaumeMaweee!! weye ndo hujui sasa!...sikia vizuri mchumba anahudumiwa sana tu!! kwanza unamkula vilevile!! tunacho jali ana nyota ya mafanikio!!! kwanza wkt namuhudumia si ninamkulaaa!!
hata yeye anafanikiwa kusoma juu kwa juu kwa ajili ya nyota yangu imemuwakia mnoo! niache kula utamu kwa sababu ya kukimbiwa loool ujinga huo sina aende tu! si nachukua mwingine kwani mie domo zege bana??
kwanza ametumia hela zangu na mie si nimemkula??shida iko wapi?? aende na mkopo nampa!..hata nyumba namjengea ili akaishi humo na mumewe km atapenda akilala njaa aje achukue mapene!
hata huyo mumewe akipenda nae nampeleka shule! wakome na wajue nina hela! alaaaa! na gari nawanunulia! wafaidi wao! kupigana miti vizuriiiii!...usiogope ntu kakusaidia mzigo!
π€£π€£π€£Juz tumechat kidogo akanambia simu imedonoka kubadil screen elf 70πππ .
NADHANI NDIO TUNAELEKEA MWISHO MWISHO.
Kwakifupi hiz mambo za hela na mimi ni tofauti kabisaa
ulikua unavutiwa pumzi tu.Kwakifup hakuna mwanamke atakupa uchi bila pesa.Hata kma atakataa mwanzon ila jua tu ni kama amewekeza na siki akitaka fahamu utatoa pamoja na interest rate flani.
Hivyo mwanaume jua unachosimamia.
Mfano hai.
Huyu manzi niko nae recently (mke wa mtu ila ana migogoro yao ya ndoa, mme wake hasimamishi) nilimla mara ya kwanza hii ni baada ya yeye kukaa bila kuliwa kwa miezi 11 sababu hio hapo jui.
Kwakua alikua na ukame nikamkata wote basi alifurahi sana na HAKUDAI PESA LICHA YA MIMI KUMPA AKAKATAA katakata.
Alikua anatoka Makambako anakuja Iringa town kufuata mzigo.
Mara ya pili nikamla mzigo tena kama masaa 6 hivi kesho akarud kwao nikampa hela tena akakataa basi nikaomba nilmkatie tu ticket ya kurud kwake.
Nikarud zangu dar kuendelea na maisha .Oohoh sasa juzi nikapigiwa simu shule zinafungua mtoto wake anahitaji ada 600,000/= na yeye hana maana alitegemea kupata kwenye biashara zake ila hali imekua sio hivyo mtoto hatapokelewa shuleni.
Nikampa tu ushaur aende akazungumze na mkuu wa shule ataeleweka.Kwel akakubaliwa ila naona mazungumzo ya INVOICE YA 600K hayakauki.Nikaanza kujitoa taratibu.
Juz tumechat kidogo akanambia simu imedonoka kubadil screen elf 70πππ .
NADHANI NDIO TUNAELEKEA MWISHO MWISHO.
Kwakifupi hiz mambo za hela na mimi ni tofauti kabisaa
Ha ha ha...Kwakifup hakuna mwanamke atakupa uchi bila pesa.Hata kma atakataa mwanzon ila jua tu ni kama amewekeza na siki akitaka fahamu utatoa pamoja na interest rate flani.
Hivyo mwanaume jua unachosimamia.
Mfano hai.
Huyu manzi niko nae recently (mke wa mtu ila ana migogoro yao ya ndoa, mme wake hasimamishi) nilimla mara ya kwanza hii ni baada ya yeye kukaa bila kuliwa kwa miezi 11 sababu hio hapo jui.
Kwakua alikua na ukame nikamkata wote basi alifurahi sana na HAKUDAI PESA LICHA YA MIMI KUMPA AKAKATAA katakata.
Alikua anatoka Makambako anakuja Iringa town kufuata mzigo.
Mara ya pili nikamla mzigo tena kama masaa 6 hivi kesho akarud kwao nikampa hela tena akakataa basi nikaomba nilmkatie tu ticket ya kurud kwake.
Nikarud zangu dar kuendelea na maisha .Oohoh sasa juzi nikapigiwa simu shule zinafungua mtoto wake anahitaji ada 600,000/= na yeye hana maana alitegemea kupata kwenye biashara zake ila hali imekua sio hivyo mtoto hatapokelewa shuleni.
Nikampa tu ushaur aende akazungumze na mkuu wa shule ataeleweka.Kwel akakubaliwa ila naona mazungumzo ya INVOICE YA 600K hayakauki.Nikaanza kujitoa taratibu.
Juz tumechat kidogo akanambia simu imedonoka kubadil screen elf 70[emoji23][emoji23][emoji23] .
NADHANI NDIO TUNAELEKEA MWISHO MWISHO.
Kwakifupi hiz mambo za hela na mimi ni tofauti kabisaa
Kuna wakati unajua kabisa unapigwa kizinga ila ndo umeshanasa kweye mtego wake