Sioni kama hili ni tatizo. Mpe uhuru apumue anavyotaka, akijibana itamletea shida.Samahanini kwa mada yenye ukakasi kiasi! ila ninashangazwa na kufadhaika!
Mchumba anatoa mashuzi mno....yaani mno! akilala kidogo tu tatizo linaanza mpaka anapoamka. unaweza kumuamsha na kuzuga kwa vistori vya hapa na pale kwa matumaini labda tatizo litaisha, lakini mkimaliza maongezi na akilala tu kazi inaanza tena hadi asubuhi.
Hili jambo linanikera kiukweli na imefikia mpaka vimaswali fulani vya kishetani visivyo vyema vinanijia kuhusu historia yake (waungwana mtakuwa mmenielewa hapa).
Naombeni ushauri wadau maana sioni kama ni sahihi kukwazana na hata kufika mbali kwa sababu yenye aibu km hii.
ANGALIZO: mi ni me na huyo mchumba ni KE
unafikiri kugoogle ni suluhisho la kila kitu?!!!! kwanini kuna majukwaa kama haya basi ikiwa watu wanaweza kumaliza yao huko google tu na unajuaje kama sijapita huko? natafuta faraja, experience n.k kutoka kwa wadau humu!Nonsense,ungekuwa na akili timamu ungemsadiai walau mchumba wako kumuondolea iyo hali ya tumbo kujaa gesi just ungegugo tu suluhisho la tumbo kujaa gesi na si kumzalilisha uku.
inawaka we jaribu siku moja chukua mfuko weka ushuzi uufunge alafu toboa uwasheHivi huwa inawaka?
Watu wanalalamika hawajakuelewa!kama ni ke basi hakuna namna, yaani ni bwana ametoa na bwana ametwaa....
Unalalaje na mchumba badala ya mke?hayo ndo madhara yamekukutaSamahanini kwa mada yenye ukakasi kiasi! ila ninashangazwa na kufadhaika!
Mchumba anatoa mashuzi mno....yaani mno! akilala kidogo tu tatizo linaanza mpaka anapoamka. unaweza kumuamsha na kuzuga kwa vistori vya hapa na pale kwa matumaini labda tatizo litaisha, lakini mkimaliza maongezi na akilala tu kazi inaanza tena hadi asubuhi.
Hili jambo linanikera kiukweli na imefikia mpaka vimaswali fulani vya kishetani visivyo vyema vinanijia kuhusu historia yake (waungwana mtakuwa mmenielewa hapa).
Naombeni ushauri wadau maana sioni kama ni sahihi kukwazana na hata kufika mbali kwa sababu yenye aibu km hii.
ANGALIZO: mi ni me na huyo mchumba ni KE
sio lazima kila mtu anielewe...😁Watu wanalalamika hawajakuelewa!
hahahaha yani acha tu..ukiona manyoaaaaaa😂
Mkuu pole sana, jaribu kumuuliza huenda kuna tatizo unaweza msaidia..
Ila dah! Ukisikia ya dunia tabu ndio mambo kama hayo..😅
Maji hayakati ushuzi kiongozi asikudanganye mtuAsile vyakula vya gesi,anywe maji mengi na awe anakula kidogo tu mchane live
Maji hayakati ushuzi kiongozi asikudanganye mtu
du, mpaka naogopa kujibu maswali mengine sasa kwa kuakisi angalizo walilonipa wadau wengine kuwa itakuwa kama namdhalilisha wakati kiuhalisia si lengo hata kidogo!Anywe maji yakutosha, mboga za majani na mazoezi yatasaidia
Alafu ngoja hayo mashuzi ni ya sauti au si ya sauti?
Je yakitoka anajigeuza au anakuwa kalala vile vile Mkuu?
ukitaka kusemaje mkuu ikiwa hajigeuzi na wala hastuki?Jambo waweza ona dogo kumbe kubwa. Kama wa mpenda ni tatizo dogo kwani huo ni ugonjwa nenda kanisani ikishindikana tiba. Kama angelipatwa tatizo mpo kwenye ndoa ungemwacha?
kama ni ke basi hakuna namna, yaani ni bwana ametoa na bwana ametwaa....