huyo mchumba ni 'ke', nimeshedit thread hapo juuKe au Me?
Ahsante, ngoja niangalie namna ya kuhamisha. nilisahau kbs kuhusu jf doctor, shukrani!Ongea naye kama anahisi tatizo lolote hasa la tumbo.Kisha nendeni wote hospitali kwa msaada zaidi.Huko kama kuna tatizo watakuambia au kama ni ishu ya vyakula vinamletea gesi tumboni watakuambia na watampa schedule ya chakula ili kumaliza hili tatizo.
At least ungepeleka hii kero yako jukwaa la jf doctor ila hapa ni kama unampiga majungu tu.
ahsanteHahaha mbona mambo yakawaida kuwa mvumilivu ndio siri ya ndoa hiyo
eti?!!!!watu washatoboa zizi hapo
mchango wako mkuuHahahaaaa yaani kuna nyuzi humu ukizisoma unajikuta unacheka kwa sauti in public hadi unajishtukia,.. uzuri wa JF watu wanatoa ya moyoni.
Mkuu hapo sina mchango wa maana ila navyodhani mimi inakubidi utafute namna ya kumwambia mwenzako kwa namna ambayo ataipokea kwa mtazamo chanya sio wa kumfedhehesha, kwa mfano mkizungumza umwambie kwa kupitia matani hapo utapata pa kuanzia.mchango wako mkuu
shukrani, una maana tu mchango wako huu!Mkuu hapo sina mchango wa maana ila navyodhani mimi inakubidi utafute namna ya kumwambia mwenzako kwa namna ambayo ataipokea kwa mtazamo chanya sio wa kumfedhehesha, kwa mfano mkizungumza umwambie kwa kupitia matani hapo utapata pa kuanzia.