Soma comment yangu #29 ili uelimike. Unahitaji elimu ya maisha. Kuweka smile, haina gharama. Kuvaa smart, haina gharama. Hayo mambo sio ku-feki kitu. Kufeki ni kama kusema natengeneza shs 10m kwa mwezi wakati mtu ni jobless. Ila kusema mfano nina ndoto ya kuwa na biashara kubwa ya duka na ninaifanyia kazi ila bado haijatimia, hio nayo sio kufeki. Mwanamke anapenda kuwa na mtu anayejitambua, jamaa post yake inaonyesha bado hajitambui vizuri.