boyson onlye
JF-Expert Member
- Sep 13, 2015
- 1,108
- 1,404
Eeeh tuambie alikoipatia.Unajua kaipata wapi aliyokurudishia?
😁 We mwache achekelee tu alivyorudishiwa.... eti aliiweka tu ndaniEeeh tuambie alikoipatia.
Unajua kaipata wapi aliyokurudishia?
The fact kakurudishia inatosha. Kama aliitunza au kapewa na jamaa mwingine wewe haikuhusu.
Anaweza akawa mwaminifu kidogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni hyo mbna hata mm aliniomba kias hicho hicho nanilimpatia juzi tu dah mwanawake hawa shikamooo
Sent using Jamii Forums mobile app
na mm naomba namba yake nitest mitambo. kama ni kawaida yake
Kumkopesha hela mchumba wako ni habari ..ila mchumba kukurudishia hela uliyo mkopesha ni habari ya kusisimua
Sent using Jamii Forums mobile app
kubet mwisho mpira, si katika haya mambo.