Mchuano mkali kati ya Majinja na Saibaba Sumbawanga - Dar

Jiongeze, kama ingelikuwa wewe Dereva, piga mahesabu kutoka sumbawanga to Dar kuna Km ngapi gawanya kwa mwendo wa km 40-6 kwa saa utatumia masaa mangapi? Na ukiwa kama Dereva utakuwa kwenye hali gani kiafya. Acha ushabiki wa ajabu namba za Sumatra kachukulie kituo cha polisi
Siku ukijikuta kwenye ajali umekatika viungo, uje utupe mrejesho wa kufurahia mwendo kasi! MWENDI KASI UNAUA
 
Duh..umenikumbusha Marehemu Rushanga wa Geita mmilki wa mabasi .
Huyu mzee alikuwa anapenda mchuano si kawaida.
Bahati mbaya aliuwawa na basi lake.
Haha lushanga si ndo usafiri wa kuaminika geita??
Sema vp kifo chake ilikuaje kuaje
 
Siku ukijikuta kwenye ajali umekatika viungo, uje utupe mrejesho wa kufurahia mwendo kasi! MWENDI KASI UNAUA
Hayo ni Matokeo ya mipango Ya Allah!! kamwe huwezi pinga ikiwa umepangiwa iwe hivyo, unaweza tembea kwa miguu na ukapata ajali na ukavunjika miguu na hata kufa kabisa, namshukuru mungu maana nakimbia mwendo wa wastani kulingana na miundo mbinu ya sehemu husika na cjawahi kuua hata kuku
 
Ninatokea Mbeya, Haya magari yanakimbizwa Na yanashindana. Polisi njiani wanaangalia tu mtanange huu wakifurahia, Abiria wanamhamasisha dereva achochee Kuni.
Nimemuonya dereva, Basi Zima wamenijia juu, eti nikitaka Maslow motion nipande treni, sina jinsi, Wana JamiiForums naombeni namba za Sumatra
Duuuh pole shuka makambako nikupe lift
 
Ninatokea Mbeya, Haya magari yanakimbizwa Na yanashindana. Polisi njiani wanaangalia tu mtanange huu wakifurahia, Abiria wanamhamasisha dereva achochee Kuni.
Nimemuonya dereva, Basi Zima wamenijia juu, eti nikitaka Maslow motion nipande treni, sina jinsi, Wana JamiiForums naombeni namba za Sumatra
Naenda Sumbawanga jumapili. Nambie nano anaongoza nikachukue ticket fasta.
 
Back
Top Bottom