makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 37,442 Reaction score 108,486 Apr 26, 2015 #1 Kwa picha nzuri, maridadi na murua kama hizi. Mwenye kuhitaji mchoraji, au ofisi inahitaji mchoraji ni PM au tuwasiliane kupitia 0659445718. Mnakaribishwa, ahsanteni! Attachments 1430069566253.jpg 25.8 KB · Views: 115 1430069587549.jpg 36.5 KB · Views: 110 1430069624104.jpg 21 KB · Views: 100 1430069679399.jpg 24 KB · Views: 91 1430069697301.jpg 44.4 KB · Views: 99 1430069720293.jpg 28.7 KB · Views: 100
Kwa picha nzuri, maridadi na murua kama hizi. Mwenye kuhitaji mchoraji, au ofisi inahitaji mchoraji ni PM au tuwasiliane kupitia 0659445718. Mnakaribishwa, ahsanteni!
Mphamvu JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 10,702 Reaction score 3,348 Apr 27, 2015 #2 Meipenda kazi yako, ingekuwa poa kama ungesema unapatikana maeneo gani... Ili kama mtu anaweza kupita hapo kwenye ofisi yako!
Meipenda kazi yako, ingekuwa poa kama ungesema unapatikana maeneo gani... Ili kama mtu anaweza kupita hapo kwenye ofisi yako!
Daby JF-Expert Member Joined Oct 26, 2014 Posts 34,961 Reaction score 80,240 Dec 24, 2017 #3 Mzee wewe nifundi napenda kuchora ila nimeshindwa.. naishia kuchora yai tu.