muhala.jr
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 728
- 600
Habari JF,
Recently kumekuwa na hizi Bahati nasibu mbili (kamali) toka kwa vituo vya redio E FM na Mawingu FM, wanajinasibu kua wanatoa milion moja kw watu watatu afu wanampigia simu mshindi mmoja ati awakilishe wengine, kwanini msipige kwa wote watatu ili tujue sio ujanjaujanja.
By the way, hizi kamali ambazo hata bodi ya michezo ya kubahatisha hawashiriki kupata mshindi zina walakini sana. Kampuni tajwa jarbuni kuweka uhalisia zaidi kuliko nadharia.