Mchongo pesa ya Clouds FM na Mshindo milionea ya EFM, ni uhalisia au ujanja wa kuibiwa watu

muhala.jr

JF-Expert Member
Jul 25, 2014
728
600
Habari JF,

Recently kumekuwa na hizi Bahati nasibu mbili (kamali) toka kwa vituo vya redio E FM na Mawingu FM, wanajinasibu kua wanatoa milion moja kw watu watatu afu wanampigia simu mshindi mmoja ati awakilishe wengine, kwanini msipige kwa wote watatu ili tujue sio ujanjaujanja.

By the way, hizi kamali ambazo hata bodi ya michezo ya kubahatisha hawashiriki kupata mshindi zina walakini sana. Kampuni tajwa jarbuni kuweka uhalisia zaidi kuliko nadharia.
 
Usijifanye mjanja, acha wajinga wapigwe tu.
Semenya Kama huyu dogo wa mji mkubwa maaruf kanada anavyoendelea kupimga wajinga
EVTYQ3KXgAEJKvO.jpeg
Ed_daEnXgAER_Lz.jpg
 
Habari Jf, recently kumekua na hizi Bahati nasibu mbili (kamali) toka kwa vituo vya redio efm na Mawingu fm,wanajinasibu kua wanatoa milion moja kw watu watatu afu wanampigia simu mshindi mmoja ati awakilishe wengine,kwann msipige kwa wote watatu ili tujue sio ujanjaujanja,by the way hizi kamali ambazo hata bodi ya michezo ya kubahatisha hawashiriki kupata mshindi zina walakini sana. Kampuni tajwa jarbuni kuweka uhalisia zaidi kuliko nadharia.
Mimi kidogo nipate ila nikicheza tena kesho nina uhakika nitapata, wewe unangoja nini?
 
Habari Jf, recently kumekua na hizi Bahati nasibu mbili (kamali) toka kwa vituo vya redio efm na Mawingu fm,wanajinasibu kua wanatoa milion moja kw watu watatu afu wanampigia simu mshindi mmoja ati awakilishe wengine,kwann msipige kwa wote watatu ili tujue sio ujanjaujanja,by the way hizi kamali ambazo hata bodi ya michezo ya kubahatisha hawashiriki kupata mshindi zina walakini sana. Kampuni tajwa jarbuni kuweka uhalisia zaidi kuliko nadharia.
Mjini hapa.
 
Mtu unatuma buku hujui inaenda kufanyeje huko unategema baada ya hapo upigiwe simu. Ni janja. Janja kama zilivyo janja zingine
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom