Mchina mjanja sana aahhhh haaah all she wants is access to rich Congo,nakasema atawajengea bunge bure la usd 50 ml,Magu slowly but surely we reach there without Chinese, naamini tukipata what is ours kwny madini na mitandao ya simu mbona reli inajengeka vizuri tu.
umepanda wewe mwenyewe ukaumwa na kichwa ama umeskia tu? pili, kama abiria wote walitoka wakiumwa basi kuna shida ila kama ni wachache, sioni shida...treni hii ina umuhimu sana hasa kwa mambo ya cargo...sasa issues za kelele dogo sana...wacha hata kama treni zingekuwa zinafanana kama zile za miaka 100 iliyopita lakini zinaenda kwa mwendo wa kasi na kusafirisha abiria na mizigo kwa mpigo, bado ningeipa heko!..issue sio treni inavokaa ama inavopiga kelele...issue ni kasi na ufanisi...Ninawashauri Kenya waachane na outdated Mchina's train system just becasuse its free for now. (They must be sure that in the end they will have to pay for the loan)... Nimesikia jinsi hiyo train invayoenda utadhani fundi karai wanagonga nyundo. Yani ukitoka Mombasa mpaka ufike Nairobi, kichwa lazima kiume, au la sivyo ubebe Panadol!
Hiyo railway in the worst case scenario inafaa kuwa reli ya kubeba mizigo, not passengers!
naona unaelewa sana jambo hili...umegonga ndipo..yaani ndio reli yenu isiwe tembo mweuoe, itabidi muharakishe sana ya Kenya isifike Kigali kabla ya kwenu...
Mchina ni nyoko, inaonekana kabisa kaishatutosa baada ya kupunch hizo projects zake za Mbegani port na SGR ya wizi. Hapa Museveni akitereza tu Kagame hapindui alafu reli yetu inakuwa white elephant project. Hapa ni kuhakikisha tunapata funds za haraka ili kujenga hii reli mapema iwekezanavyo. JPM akishundwa kufanya hivyo kamwe watanzania hatutamsamehe. Swali ni atapata wapi hela? Wazungu kawatibua, Wachina ndio hawamsomi? Balozi Maiga ana kazi sana.
Mkuu hii comment yako imeniliza, siyo kwamba Tanzania hakuna vichwa, vichwa vipo sana tu, na watu waliosoma shule vizuri wapo wengi tu tatizo ni kupewa fursa ya kufanya kazi independently.Lazima ukubali kuliwa ili ule, hilo lipo tena kwa mataifa yote ya dunia, tatizo ni pale unaliwa hadi mifupa kama jinsi nyie huliwa kwenye shamba hilo la bibi. Nchi mna kila kitu madini zaidi ya mataifa yote Afrika, ardhi kubwa, vivutio bora zaidi ya mataifa bora Afrika, kwanza mpo nchi mbili ndani ya muungano yaani orodha ni ndefu ya kila sababu za nyie kuongoza Afrika kiuchumi na kila kitu, lakini mnatajwa kwenye orodha ya mataifa maskini wa kutupwa Afrika.
Leo hii baada ya zaidi ya miaka hamsini ya uhuru ndio mnagundua eti mnaliwa kwenye mchanga wa dhahabu, aisei tatizo lenu mna uzembe wa kusoma, hampendi kusoma kabisa hivyo inabidi mpigwe chenga kwenye mikataba, Kingereza huwa kinawapa chenga pia. Ukitaka Mtanzania atie saini chochote mpe mkataba ulioandkwa kwa kingereza chenye misamiati na maneno mengi, ataishia kuuliza wapi pa kutia saini, basi.
Mnafaa kwanza mnajifungia ndani na hiyo mikataba, mnasoma neno kwa neno, herufi kwa herufi kabla ya kutia saini. Bure mtaliwa hadi muikimbie nchi. Nyerere naskia alizuia madini yasiondoke hadi pale mtakua na elimu ya kutosha, sasa leo hii mnajinadi kuwa na elimu lakini mnaliwa balaa.
umegonga ndipo bro!!!Lazima ukubali kuliwa ili ule, hilo lipo tena kwa mataifa yote ya dunia, tatizo ni pale unaliwa hadi mifupa kama jinsi nyie huliwa kwenye shamba hilo la bibi. Nchi mna kila kitu madini zaidi ya mataifa yote Afrika, ardhi kubwa, vivutio bora zaidi ya mataifa bora Afrika, kwanza mpo nchi mbili ndani ya muungano yaani orodha ni ndefu ya kila sababu za nyie kuongoza Afrika kiuchumi na kila kitu, lakini mnatajwa kwenye orodha ya mataifa maskini wa kutupwa Afrika.
Leo hii baada ya zaidi ya miaka hamsini ya uhuru ndio mnagundua eti mnaliwa kwenye mchanga wa dhahabu, aisei tatizo lenu mna uzembe wa kusoma, hampendi kusoma kabisa hivyo inabidi mpigwe chenga kwenye mikataba, Kingereza huwa kinawapa chenga pia. Ukitaka Mtanzania atie saini chochote mpe mkataba ulioandkwa kwa kingereza chenye misamiati na maneno mengi, ataishia kuuliza wapi pa kutia saini, basi.
Mnafaa kwanza mnajifungia ndani na hiyo mikataba, mnasoma neno kwa neno, herufi kwa herufi kabla ya kutia saini. Bure mtaliwa hadi muikimbie nchi. Nyerere naskia alizuia madini yasiondoke hadi pale mtakua na elimu ya kutosha, sasa leo hii mnajinadi kuwa na elimu lakini mnaliwa balaa.
MK254
Mathalani u sahihi kabisa lakini usidhani kwamba umasikini wa watanzania unasababishwa na elimu ndogo ya watanzania au kiwango cha kuongea kiingereza,
LA HASHA,
Watanzania wana elimu sana tena kubwa ila ukiritimba, ubinafsi, uchoyo, ulafi, wizi na kutojali maslahi ya mamilioni ya watu kwa ajili ya matumbo ya watu wasiozidi hata elfu ndo sababu ya umasikini wetu.
ila uzuri hatulii njaa
Wote mnaogonganishwa vichwa na huyu mkenya ni mazuzuMkuu hii comment yako imeniliza, siyo kwamba Tanzania hakuna vichwa, vichwa vipo sana tu, na watu waliosoma shule vizuri wapo wengi tu tatizo ni kupewa fursa ya kufanya kazi independently.
Wote mnaogonganishwa vichwa na huyu mkenya ni mazuzu
Hakuna jipya zaidi ya ujinga mtupu. What's so special with Kenyans anyway ? Kuwa mtumwa mwaminifu - A loyal slave. Achaneni na ropo ropo na maneno meengi kama watu wa Arusha, as blacks we have got a long way to go.Ukifuata hii hoja kitaalam na kwa kutumia akili utajua kwamba hugonganishwi, maswali yanayoulizwa leo huko kwenu yalifaa kuulizwa kitambo, na ndio maana huwa unaskia historia inahukumu watu. Maamuzi ya leo yatahojiwa na vijana wa kesho. Rais wenu Magufuli amefanya maamuzi magumu hadi hata kumfuta waziri Muhongo ili kulinda nchi kwa kizazi cha kesho.
kawaida ya mdanganyika...kuropokwa tu kila upande....Kenya haitakuwa nchi ya kwanza kuwa na deni wala haitakuwa ya mwisho...afadhali nchi inayopiga hatua ka deni kuliko nchi stagnant wanaokimbizana kila uchao na sijui kina Bashite...yaani mkatae kutawaliwa na vyama vya kikoloni ndio mkomae kisiasa na kiuchumi..sasa hivi chama cha KANU kenya kiko kwa coma kinasubiri tu kifo...Hakuna jipya zaidi ya ujinga mtupu. What's so special with Kenyans anyway ? Kuwa mtumwa mwaminifu - A loyal slave. Achaneni na ropo ropo na maneno meengi kama watu wa Arusha, as blacks we have got a long way to go.
- Ukiangalia wanaoshikilia uchumi wa Kenya, ukaangalia na maisha ya kawaida ya mkenya ni SIMANZI tupu, leo badala ya kukaa ukafirikia namna mtakavyoweza kujinanasua kwenye huo mkopo wa mchina, mko busy na propaganda zisizo na maana. Msipoangalia mnaelekea kutumia YUAN ili msamehewe deni. Pathetic
Hakuna jipya zaidi ya ujinga mtupu. What's so special with Kenyans anyway ? Kuwa mtumwa mwaminifu - A loyal slave. Achaneni na ropo ropo na maneno meengi kama watu wa Arusha, as blacks we have got a long way to go.
- Ukiangalia wanaoshikilia uchumi wa Kenya, ukaangalia na maisha ya kawaida ya mkenya ni SIMANZI tupu, leo badala ya kukaa ukafirikia namna mtakavyoweza kujinanasua kwenye huo mkopo wa mchina, mko busy na propaganda zisizo na maana
yaani nchi ya tz imelala usingizi wa pono...tungekuwa tu na nusu ya rasilimali ambazo watz wanazo, dah! tungekuwa wapi aisee? nchi ya Kenya ni self-made...sio kama nchi zingine za kiafrika...ukienda SA utapata dhahabu...nenda Nigeria upate mafuta almaarufu 'dhahabu nyeusi' ..nenda Egypt na Angola pia utapata mafuta...Kenya ndio, tuna wildlife ila swala la terrorism limekuwa pigo kubwa...na tunasonga mbele tu...yaani uchumi wa $75B..in the next few years tutakuwa $100B na zaidi...bado ndogo lakini ni jambo la kufurahisha..Jifunze kusoma mada kuanzia mwanzo hadi mwisho sio kudandia tu bila kujua kichwa kiko wapi na inaelekea wapi. Mimi nilimjibu Mtanzania mwenzio aliyetutahadharisha kwamba tutaliwa na Mchina. Nikamkumbushia kama ni suala la kuliwa basi huo ushauri bora angeutumia kwa nchi yake kwanza maana nafuatilia mijadala yenu ya mchanga hadi aibu, mlivyotafunwa kwa miaka yote hiyo.
Kenya tunaliwa, hiyo sio siri lakini pia tunatafuna, ni mwendo wa kung'atana hadi kieleweke. Tumebanana hivi hivi hadi tumetoka kwenye orodha ya mataifa maskini wa kutupwa Afrika. Leo hii katiba yetu bora, GDP yetu inasoma kwenye $75b pamoja na kwamba hatuna madini ya kutajwa, nchi yetu ndogo eneo kubwa ni kame, vivutio vya utalii vichache, tumechezea mabomu ya alshabaab n.k.
Lazima ukubali kuliwa ili ule, hilo lipo tena kwa mataifa yote ya dunia, tatizo ni pale unaliwa hadi mifupa kama jinsi nyie huliwa kwenye shamba hilo la bibi. Nchi mna kila kitu madini zaidi ya mataifa yote Afrika, ardhi kubwa, vivutio bora zaidi ya mataifa bora Afrika, kwanza mpo nchi mbili ndani ya muungano yaani orodha ni ndefu ya kila sababu za nyie kuongoza Afrika kiuchumi na kila kitu, lakini mnatajwa kwenye orodha ya mataifa maskini wa kutupwa Afrika.
Leo hii baada ya zaidi ya miaka hamsini ya uhuru ndio mnagundua eti mnaliwa kwenye mchanga wa dhahabu, aisei tatizo lenu mna uzembe wa kusoma, hampendi kusoma kabisa hivyo inabidi mpigwe chenga kwenye mikataba, Kingereza huwa kinawapa chenga pia. Ukitaka Mtanzania atie saini chochote mpe mkataba ulioandkwa kwa kingereza chenye misamiati na maneno mengi, ataishia kuuliza wapi pa kutia saini, basi.
Mnafaa kwanza mnajifungia ndani na hiyo mikataba, mnasoma neno kwa neno, herufi kwa herufi kabla ya kutia saini. Bure mtaliwa hadi muikimbie nchi. Nyerere naskia alizuia madini yasiondoke hadi pale mtakua na elimu ya kutosha, sasa leo hii mnajinadi kuwa na elimu lakini mnaliwa balaa.